Toyota kuacha kutengeneza VX V8 2021

Toyota kuacha kutengeneza VX V8 2021

Land Cruiser Series 80 ikiwa na engine ya 1HZ hii ndio gari bora kwangu na muungurumo wake kama simba dume Mikumi.
 
Ni muda wao wakuamia kwenye Starlet Glanza na Ist pamoja na vitz old model
Nissan Patrol wao walipunguza size ya Engine kutoka 4.8L kwenda Nissan Patrol TI Y61 3.0L Turbo kwa diesel. Wali-maintain injini kubwa za 5.6 Litre na cylinder 8 kwa hizi mpya Nissan Patrol TI Y62 Series ambazo hadi sasa wanatoa za petrol tu. Ila sasa kwa mtu wa kawaida, huziwezi, maana zinakula mafuta hadi unalia! Wanaonunua ni watu wenye pesa ambao haoni taabu kujaza full tank kwa Tshs 300,000!

Kinachoudhi ni kwamba muungurumo wa Nissan Patrol Turbo 3.0L Diesel umekuwa kama trekta, sio kile kinanda cha Nissan Patrol za 4.8L za zamani ambazo tulikuwa tunavuta gia kila mtu anajua unapita na Nissan Patrol!
 
Hiyo Call for USA markets only, Africans country nk.... Wataendelea kuzalisha vision kama kawaida nakuzileta.


Ila hii inaweza kuwa target market yakustopisha J200 SERIES labda watakuja na VX V9 J300 SERIES for US naabaadae kuziingiza African unajua wenzetu hawanunui USED CAR
 
Kuna jirani yangu alikuwa na Nissan patrol mwaka mmoja hivi uliopita, Aisee lile gari lilikuwa linanguruma vizuri mpaka mb*oo inadinda [emoji15][emoji15][emoji15].....mlio wa kibabe injini invyoitikia gia..[emoji31][emoji31]
Yule fala si kauza lile gari.....kanunua vx flani hivi ingefanana na vx amazon...inaungurua kama Canter..[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]


Lakini hata Coaster box body zile EX..old model....achana na hizi coaster mayai..
Ukiikuta ina injini yake haijachokonolewa ..ile mashine inaunguruma vizuri.....Matoleo maoya kwa upande wa muungurumo wa injini yamepoteza raha kabisa
Nissan patrol Td42 engine zile za miaka ya 1990 mlio wake unatia mzuka sana, ila hizi za miaka ya 2000 hamna kitu kabisa, hata uimara wake ni mdogo tofauti kabisa na toleo la miaka ya 90.
 
But si wapo mafudi wegine?wataweza tegeneza vizuli tu na akuna shida.mi sioni shida apo nazani ni kuagalia tu maeneo tofauti tofaut utapaara mafudi wazuli.
 
Hii technology ya kutumia diesel engine na petrol inaenda ukingoni..
Kuna baadhi ya nchi za ulaya wameweka malengo Yao ikifika 2025 waanze kutumia Magari ya Umeme na gas(hybrid)
Vile engine ikinguruma..... halafu unaka kwenye ka tesla mbio ila husikii kitu.... AH! watuachie tu
 
Watengenezaji sidhani kama wanajua "uniqueness" ya sauti ya engine zilivyo na ushawishi kwa wateja kununua!Nissani wamepoteza sana "peculiarity" kwa upande muungurumo,Leyland,LL,na wengine wengi....kwa LC wamejitahidi kumaintain
Umetaja Leyland umenikumbusha school bus moja za shule ya Westlands Tabora.
Ilikua ikipita lazima niache shughuli zote nifurahie muungurumo injini yake ilikua inavuta halafu unaskia mruzi byuuu...kuna gari mlio wake unavutia sana
 
Ulisha endesha gari mpaka speed ngap maxmum
Honestly am addictive on driving bigger car!

Gari ikiwa chini ya engine capacity 2000 huwa sifikirii Kununua, zinakuwa nyepesi sana!

Pia gari ikiwa na chini ya speed 260km/h hiyo huwa Sitaki hata kuiskia, otherwise niendeshe ya mtu ila sio yangu!
 
BMW i8 zinafungwa Sound Generator ikiunguruma hapo hujui kama ni electric car!....




Ndivyo wanavotaka kutushawishi tununue za umeme... Feki ni Feki. Combustion Engine iachwe. Yaani sio kwamba unasikia tu engine bali unapata kuifeel.
 
Ndivyo wanavotaka kutushawishi tununue za umeme... Feki ni Feki. Combustion Engine iachwe. Yaani sio kwamba unasikia tu engine bali unapata kuifeel.
Unaifeel vipi engine kuunguruma!?.. au body ya gari inatetemaa?..
Engine Sound ni mlio tu ndio maana Toyota haiungurumi kama Subaru!. Mambo ya kuifeel sound ni hisia zako!.
 
Unaifeel vipi engine kuunguruma!?.. au body ya gari inatetemaa?..
Engine Sound ni mlio tu ndio maana Toyota haiungurumi kama Subaru!. Mambo ya kuifeel sound ni hisia zako!.
Mkuu kusikia kitu live ni tofauti na kusikia kwenye radio. Ukikanyaga mafuta hata range rover utahisi mngurumo wa engine.

Narudia, Feki ni Feki, haiwezi kuwa sawa na combustion engine. Ile kujua tu kama mlio unaotoka ni wa radio basi maini yanakatika.
 
Mkuu kusikia kitu live ni tofauti na kusikia kwenye radio. Ukikanyaga mafuta hata range rover utahisi mngurumo wa engine.

Narudia, Feki ni Feki, haiwezi kuwa sawa na combustion engine. Ile kujua tu kama mlio unaotoka ni wa radio basi maini yanakatika.
Umeshawahi kanyaga pedal ya Range ukaisikilizia inavyounguruma?..
Mlio hautokei kwenye radio ya gari, umefatiria lakini jinsi mlio unapotokea?..
 
Back
Top Bottom