Toyota kuacha kutengeneza VX V8 2021

Umeshawahi kanyaga pedal ya Range ukaisikilizia inavyounguruma?..
Mlio hautokei kwenye radio ya gari, umefatiria lakini jinsi mlio unapotokea?..
Kwani nilikwambia mlio wa range rover unatokea kwenye radio? itakuwa hujaelewa tu lakini ngoja nikufafanulie.

RANGE ROVER pamoja na kuwa very luxury (inayotegemewa kuwa iwe kimya), basi unapokanyaga mafuta mlio wa engine utausikia na utafeel tu. Kamwe huwezi kufananisha na sauti feki za gari ya umeme.
 
sawa boss
 
Zitakuja model zingine bora zaidi
 
Unanunua gari usikilize mngurumo wa engine?

Magari ya umeme ni rahisi kuyamiliki ila tatizo ni miundombinu yetu.
 
Unanunua gari usikilize mngurumo wa engine?

Magari ya umeme ni rahisi kuyamiliki ila tatizo ni miundombinu yetu.
Kama sio Car enthusiast huwezi kuelewa raha ya kuisikia engine ikinguruma. Na kama unataka kujua jinsi mlio wa engine ulivo na umuhimu kwa mpenzi wa magari, hizo electric cars wameamua kuweka speaker ku simulate engine noise.
 
Naunga mkono hoja

Kwamba wao wana pesa sana kuliko sisi au? maana 0Km sio mchezo au ndio wanatufanyia figisu tushindwe na sisi?
 
Ivi GESI mkuu ikilipuka inakuaje apo kwa Bonet!!? amna kitu naogopa kama Gesi
Hii technology ya kutumia diesel engine na petrol inaenda ukingoni..
Kuna baadhi ya nchi za ulaya wameweka malengo Yao ikifika 2025 waanze kutumia Magari ya Umeme na gas(hybrid)
 
.
 
Kama sio Car enthusiast huwezi kuelewa raha ya kuisikia engine ikinguruma. Na kama unataka kujua jinsi mlio wa engine ulivo na umuhimu kwa mpenzi wa magari, hizo electric cars wameamua kuweka speaker ku simulate engine noise.
Kusimulate engine ni kukumbusha kwamba gari ipo on na sio kupeana mzuka.

Sijaona hizo simulation kwenye Tesla model zote.
 
Kusimulate engine ni kukumbusha kwamba gari ipo on na sio kupeana mzuka.

Sijaona hizo simulation kwenye Tesla model zote.
The main reason to simulate engine sound sio kukumbusha kuwa engine iko on. bali ni kukufanya wewe uwe na hisia ya kama vile upo kwenye gari yenye combustion engine. Tatizo wewe sio enthusiast. Wewe unaendesha gari ufike mahala tu.
Inawezakan labda hujui au umesahau kuwa Engine sound ni kitu ambacho kinapewa umuhimu kwenye production. LFA engine alipewa kazi Yamaha ku tune sound tu.

Tesla hazina engine sound simulation, how does the driver know it is on then?
 
Mimi ni enthusiast, napenda speed na comfortability. Sipendi kelele. Subaru zinapiga kelele ila speed sifuri.
 
Kariakoo to Tegeta Kwa gari yenye CC 3000 ya kazi gani? Au speed 260 haina tija Sana
Mkuu hata kama ni km 5 kila siku unaendesha, gari yenye cc kubwa hata ikiwa silence kwenye foleni ina raha yake tofauti na cc ndogo. Kwangu mm ni kama ulevi, napenda sana. Na sijui ni mm au Ila hata performance ya AC kwenye engine kubwa huwa naona ni tofauti.
 
Mimi ni enthusiast, napenda speed na comfortability. Sipendi kelele. Subaru zinapiga kelele ila speed sifuri.
Unaona sasa? kumbe wewe sio mpenzi/shabiki wa magari, wewe ni shabiki/mpenzi wa spidi na comfortability, gari ni zaidi ya hivo viwili. Wewe ndio wale ambao mtakaa kwenye self driving cars na kusema kuwa unaenjoy kuendesha hio gari, wakati ulikuwa umekaa tu unaendeshwa.

Subaru inapiga kelele, kelele zake hazimkeri car enthusiast, infact, boxer engine ina sound nzuri sana, unasema kelele ila speed sifuri, mbele ya IST ilokuwa haina kelele? πŸ˜€
 
Unapenda mlio.
 
Mimi ni enthusiast, napenda speed na comfortability. Sipendi kelele. Subaru zinapiga kelele ila speed sifuri.
Unaweza ukaishia kuzipenda na kuzijua majina tu na ukashindwa kuzi-afford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…