Wazee wa mziki kwa Dicksound na rim kitu mtelezo tu πππ ila harrier imekuwa nyingi kama changa la baharini! Huwezi kukatiza mtaa ukaumaliza bila kupishana nayo maeneo ya mjiniWanyonge zetu ni harrier tako la nyani,team tezza etc
Hayo Mavieite tutaishia tu kuangalia reviews zake huko youtube ila kuyaendesha/kuyamiliki ni nehiiiiii nehiiiiiiiiii.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahaha uzuri serikali inaagizaga 0km kwahio soon tu utaanza kuona STL mtaani zikiwa ni LC300 dude tamu sana aisee! Kiboko zaidi ya 200 series kwa kweli! It seems to be a very appealing car in person. Wacha tuone zikifika hao jamaa wote watapewa lift tu maana washatoka mchezoni πππSerikali Ni Tajiri
Punde Utayaona Barabarani
HK Naye Pia Bashiru Watayaona Kwa Mbali
Msukuma Anangoja Lift Kwa Mawaziri Ndiyo Apande
πππππ ππππππππΈ
Hili sio ni picha ya zamani waliokuwa wana guess guess tu ila official nimeziattach hapo juu kwenye uzi
Wow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!Toyota hasa LC series ina loyal fans na enthusiasts waliosambaa dunia nzima.
I think design wise, hilo gari bado kabisa. Hakuna zile "wow" features. Anavyoviweka vilikuwepo kwenye makampuni mengine.
Nadhani angetoa na 4.4l V8 twin turbo yenye over 550hp. Ingependeza zaidi.
Otherwise, gari ya kawaida sana.
Torque vs HPHivi kwa nini watu wakiwa wanatoa sifa za gari huwa wanapenda kuzungumzia zaidi horsepower badala ya Torque?
Kwahiyo hii ni takataka tu kwa hilo dude!?Wow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!
Hii ni trip 1 field trip inayofuata ni garage.Kwahiyo hii ni takataka tu kwa hilo dude!?View attachment 1773739
IHzNasikitika tu polepole hataenjoi haya ma vieite mapya pindi yatakaponunuliwa huko serikalini.
πππ Mambo ya wow factor tumewaachia wakina Range rover na 'soccer mom' car zaoWow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!
Kuna jamaa huko mtaani nilikua namuonaga mjanja sana ila nilivyomuona ana hio gari nilim downgrade kabisaa.Wazee wa mziki kwa Dicksound na rim kitu mtelezo tu πππ ila harrier imekuwa nyingi kama changa la baharini! Huwezi kukatiza mtaa ukaumaliza bila kupishana nayo maeneo ya mjini
Machine
Hahah au nasema uongo ndg zanguKwasasa Watameza Mate Walale
Style flani hivi Kama Discovery kwa mbaliMbele ni tamu mbona nyuma ndio ilikuwa kipengele ila kwenye real life pictures iko makini
Huyu anasafiria nyota ya sifa za kijinga ila kwa ma landcruiser ni chuma cha pua!Kwahiyo hii ni takataka tu kwa hilo dude!?View attachment 1773739
Ndiyo Ukweli WenyeweHahah au nasema uongo ndg zangu