Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Hapa nazungumizia Models zote za 70s kama
70, 76, 78, 79...
Hizi Gari Mjapani alitengeneza kwa kweli,
Kila model anayotoa ni chuma
Ni imara, zina nguvu, zinavumilia,
Zilitengenezwa maarumu kwa off-road,
No wonder Ndio Gari Serikali nyingi zinatumia katika shughuli zake hasa katika mazingira/haliyahewa tete..
Juzi tuu hapa WHO nao wametangaza kua ndio gari watazitumia katika kusambaza kinga za Corona katika remote areas africa,
Ni gari flani ambazo ni haijakaa kifamilia sana sana,
Ni gari ya kazi...
Ni gari flani iliyo na heshima, ikiwekwa barabarani subiria kuona ikikupa indicator....
Sijaona Gari za kuja kushusha soko ya hii model,
Zamani kidogo Landlover Defender (tdi) zilikua angalau zinacompete nakumbuka idara nyingi za Serikali mfn polisi walikua wanatumia tdi na Cruiser ila sasa tdi ndio zinatoweka kabisa..
Kuna jamaa yangu aliachiwa na wazungu zawadi baada ya kuwasaidia sana kwenye project yao, ilikua mpyaaa kabisa maana ilitumika miezi 9, akaliuza bei ya hasara, hivi sasa kila akiliona linapita anaumia sana akanunua Noah, asaivi ashasahau hata screpa aliuza sh ngapi..
Sikumbuki ni lini niliona hii gari imepaki garage.