Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

Kwa sie walalahoi tunasifia sana hizo gari nchi za wanaoishi hapo hamna gari
Unajua unaweza pandanisha mada, bila kujua, haisifiwi kwa U Luxsury wake bali kwa uvumilivu wake, kama ni u luxsury nadhani wengeweka akina V8.

Ukisema hapo hapo hamna gari, ukilinganisha na gari gani.
 
Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
Wewe ni lipumbavu flani ivii
 
Back
Top Bottom