Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

Na sometimes gari ni dereva siku Moja nilikuwa na cruiser hard top me nimeketi pemben engine hio hio 1 Hz tulipata jigi na brevis tuliisumbua sana ila kitu nilicho note ni kuwa jamaa wa brevis alikuwa muoga kupita maelezo kwenye Kona anapunguza mwendo kabisa
 
Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
We hujui gari mzee wangu!! Ivi land Cruiser lx ukabebee kuni are you serious??? Iyo gari inauzwa milioni mia 120 ukabebee kuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo yote utakosea kuipa heshima mashine ya 1HZ ile ni jiko la gesi baba..
ogopa gari inakaa silence wiki 2 bila kuizima...
ni gari naitumia sana!!shida yake macho panzi usiipige nayo side ways tuu..inakutoa utumbo chapu.
ni gari ya uhakika wa kufika nayo popote muda wowote.
 
Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
Nakuunga mkono gari kama mkokoteni mpaka mgongo unauma ya kazi gani
 
Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie najua ni magari ya serikali, hayo mengine hayanihusu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo Ford aingie kati aModify alete kitu kama hiyo ila luxury kama alivyofanya kwenye Ranger, hizi gari Serikali inaziharibia soko ukinunua inaonekama kama la shirika.
 
"You can go fast, but I can go anywhere"

Kwakweli mwendo hazina. Ila zinaenda kokote
Zipo v6 petrol,inline6(1hz),1hdt japo chache sana,v8 ila kibongobongo zetu nyingi ni 1hz na kwenye mwendo hazina maajabu hata ist 1nz-fe inaisumbua sifa ipo kwenye umadhubuti hapo ni mia kwa mia.
 
Huyo rafiki yako ni bumunda kweli!

Unauzaje usafiri kama huo?

Hizo gari haziwahi hata kushuka bei!

Alafu waasi wengi wanazipenda sana sababu ya nguvu.

Injini yake ni 4.0L
1hz ni 4.2 ndugu kama ni 4.0 hiyo ni ya petrol kwetu adimu kidogo hata serikalini hawana.
 
Back
Top Bottom