Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
We hujui gari mzee wangu!! Ivi land Cruiser lx ukabebee kuni are you serious??? Iyo gari inauzwa milioni mia 120 ukabebee kuni?Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
Lx zipo nyingi yaweza kuwa pickup ni lxWe hujui gari mzee wangu!! Ivi land Cruiser lx ukabebee kuni are you serious??? Iyo gari inauzwa milioni mia 120 ukabebee kuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo lx yoyote bei yake niya moto mzee... Sio gari ya mkaa kabisa!!! Ni gari kwa nchi yetu ukiwa nayo ndo utaenjoy... Ipe heshima yake aseLx zipo nyingi yaweza kuwa pickup ni lx
Nakuunga mkono gari kama mkokoteni mpaka mgongo unauma ya kazi ganiTunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
Wakulima na wafugaji ndio wanaendesha kuleKwahio Australia kule watu hawaishi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunasifu hili gari kutokana na maisha na mazingira duni tunayoishi...ila katika mazingira anayostahili kuishi binadamu hili gari sio.
Labda la kubeba kuni huko porini..
We umefika lini Australia ukawaona wakulima na wafugaji😂Wakulima na wafugaji ndio wanaendesha kule
Australia sijafika ila nimeishi Uingereza miaka 5 nimekaa Scotland muda mfupiWe umefika lini Australia ukawaona wakulima na wafugaji😂
Mjapan alitupa zawadi ya kipekee kwa sisi wapenda gari za kazi. Sidhani kama kuna automaticHızı mashine ni balaa
Ivi zipo za Automatic ?
Mbona Australia zinafanya vizuri tu sokoni.Kwa sie walalahoi tunasifia sana hizo gari nchi za wanaoishi hapo hamna gari
Automatic zipo. Utazikuta kwenye Land Cruiser Series 76 ZX.Mjapan alitupa zawadi ya kipekee kwa sisi wapenda gari za kazi. Sidhani kama kuna automatic
Ladha ya LC 70’s ni manual Transmission.Automatic zipo. Utazikuta kwenye Land Cruiser Series 76 ZX.
Hizi ni jamii ya LX zilikuwa na taa za duara kama mkonge toleo kabla ya macho ya panzi
Zipo v6 petrol,inline6(1hz),1hdt japo chache sana,v8 ila kibongobongo zetu nyingi ni 1hz na kwenye mwendo hazina maajabu hata ist 1nz-fe inaisumbua sifa ipo kwenye umadhubuti hapo ni mia kwa mia."You can go fast, but I can go anywhere"
Kwakweli mwendo hazina. Ila zinaenda kokote
1hz ni 4.2 ndugu kama ni 4.0 hiyo ni ya petrol kwetu adimu kidogo hata serikalini hawana.Huyo rafiki yako ni bumunda kweli!
Unauzaje usafiri kama huo?
Hizo gari haziwahi hata kushuka bei!
Alafu waasi wengi wanazipenda sana sababu ya nguvu.
Injini yake ni 4.0L