hivi Prado utailinganisha na vitz? ila muuzaji angeilamba kwanza. ionekane very extra clean!Bora ya hao wanaolinganisha kwa sababu kama ni prospective buyer, unajua kabisa yupo serious, hata asipochukua mzigo wako, atachukua ule unaoendana na maslahi yake. Lakini hawa wapiga kelele ambao hawajawahi kumiliki hata Bajaj, wala hawanisumbui kwa sababu hawawezi kumfanya serious buyer aache kununua au angalau kutamani kununua!
Kwenye suala la kuwa extra-clean, upo sahihi! Kwa nyongeza, mimi ndo muuzaji, hiyo gari ipo home na huwa inatoka mara chache sana na ndio maana unaona haikuandaliwa hata kwa sopi kwa sopi! Anyway, mwenyewe sipo home, nilichofanya ni kumpigia simu dogo aende home akaipige picha na kwavile na yeye alikuwa on way kwenda job, akaifotoa mafoto kama ilivyo!hivi Prado utailinganisha na vitz? ila muuzaji angeilamba kwanza. ionekane very extra clean!
Good. Gari iko vizuri. sasa kwa ajili ya market hata nyumba mtu akitaka kuuza ama kupangishs lazima soap soap kwanza. kwa wajua magari watakuja. mimi Mercedes yangu inanitoshs kwa sasa. Ila it worth. Halafu watu hawajapona ' mazungumzo" polepole hii biashsra ya mtandaoni bado hatujazoea. ila tutafika tu. wishing you all the bestKwenye suala la kuwa extra-clean, upo sahihi! Kwa nyongeza, mimi ndo muuzaji, hiyo gari ipo home na huwa inatoka mara chache sana na ndio maana unaona haikuandaliwa hata kwa sopi kwa sopi! Anyway, mwenyewe sipo home, nilichofanya ni kumpigia simu dogo aende home akaipige picha na kwavile na yeye alikuwa on way kwenda job, akaifotoa mafoto kama ilivyo!
Ushauri umepokelewa kwa mikono miwili!Good. Gari iko vizuri. sasa kwa ajili ya market hata nyumba mtu akitaka kuuza ama kupangishs lazima soap soap kwanza. kwa wajua magari watakuja. mimi Mercedes yangu inanitoshs kwa sasa. Ila it worth. Halafu watu hawajapona ' mazungumzo" polepole hii biashsra ya mtandaoni bado hatujazoea. ila tutafika tu. wishing you all the best
Hii gari thamani yake haizidi M5. Gari ya 2002 tena imetumika Bongo, namba yenyewe ni B. Acheni utani kwenye vitu serious. Au we Dalali mpya?
Zinauzwa Kwa mafungu,?Tena kuna Vitz fulani hivi, ukiongoza hela kidogo tu hapo unapata hadi 10; wewe unasema 4!
Tena atakuwa mwarabu huyo,Eti Mkuu! Mbona kama LIMEJAMBIWA sana??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Tunauza gari mzee na na sio chakula cha vifaranga!! Karibu siku nyingine ukiona tangazo la kuuza chakula cha vifaranga!
Mkuu ujahasau tu,umenifanya nicheke,
Hamna namna kwa kweli.Huu utawala ni utawala wa kukana magari yetu *****
Sasa Mkuu umetumia Business Model ipi kuthaminisha gari kwa valuation tofauti ya mwaka 2006?You are viewing Valuation Details of a 2006 TOYOTA LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB - SUV.
CIF
Dar es Salaam
$10,692 + TOTAL TAXES (TSHS):23,006,366.92
kaka kweli gari iko ghali ila sasa kuiuza wakati huu ndo utata aisee
Naona umefanya kazi kubwa sana, tena ya ziada. What are you trying to achieve sir?Hii Prado asking price ni overpriced. Tokea ianze kutembea TZ thamani yake itakuwa ime depreciate kwa kiasi kikubwa. Leo hii ukiagiza 2002 Toyota Prado kutoka Japan utalipa 35.5 mil or less kutegemea bei halisi uliyonunulia. Sasa iweje gari ya namba B imechoka namna hiyo iuzwe kwa 28 mil?
Reference Number:17183088386
Make: TOYOTA
Model: LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2002
Country: JAPAN
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 7,283.65
Import Duty (USD): 1,820.91
Excise Duty (USD):910.46
Excise Duty due to Age (USD): 2,731.37
VAT (USD): 2,365.16
Custom Processing Fee (USD): 43.70
Railway Dev Levy (USD): 109.25
Total Import Taxes (USD): 7,980.86
Total Import Taxes (TSHS): 18,255,332.19
Vehicle Registration Fee (TSHS): 550,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 18,805,332.19
ObjectivityNaona umefanya kazi kubwa sana, tena ya ziada. What are you trying to achieve sir?
Oh!! I love being objective though I hate seeing myself I lack objectivity! I think all this is because of how we're born, raised or even the type of schools we attended, right sir?!Objectivity
Hapo anakuelewesha kuwa umeoverprice gari uliyopewa kuuza. Kama ukiagiza Leo kutoka Japan model ya gari unayotaka kuuza unapata kwa chini ya 20m. Sasa iliyotumika Bongo zaidi ya miaka 10 huwezi uza zaidi ya bei ya kuagiza gari kutoka Japan. Nduguyangu nenda kwenye uhalisia itauzika. Hapo wataalam wa kuagiza na wanunuzi wa magari wanakushangaa.. Ndio maana nikakuambia kuwa mkweli na nafsi yako.Naona umefanya kazi kubwa sana, tena ya ziada. What are you trying to achieve sir?