Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Bora ya hao wanaolinganisha kwa sababu kama ni prospective buyer, unajua kabisa yupo serious, hata asipochukua mzigo wako, atachukua ule unaoendana na maslahi yake. Lakini hawa wapiga kelele ambao hawajawahi kumiliki hata Bajaj, wala hawanisumbui kwa sababu hawawezi kumfanya serious buyer aache kununua au angalau kutamani kununua!
hivi Prado utailinganisha na vitz? ila muuzaji angeilamba kwanza. ionekane very extra clean!
 
hivi Prado utailinganisha na vitz? ila muuzaji angeilamba kwanza. ionekane very extra clean!
Kwenye suala la kuwa extra-clean, upo sahihi! Kwa nyongeza, mimi ndo muuzaji, hiyo gari ipo home na huwa inatoka mara chache sana na ndio maana unaona haikuandaliwa hata kwa sopi kwa sopi! Anyway, mwenyewe sipo home, nilichofanya ni kumpigia simu dogo aende home akaipige picha na kwavile na yeye alikuwa on way kwenda job, akaifotoa mafoto kama ilivyo!
 
Good. Gari iko vizuri. sasa kwa ajili ya market hata nyumba mtu akitaka kuuza ama kupangishs lazima soap soap kwanza. kwa wajua magari watakuja. mimi Mercedes yangu inanitoshs kwa sasa. Ila it worth. Halafu watu hawajapona ' mazungumzo" polepole hii biashsra ya mtandaoni bado hatujazoea. ila tutafika tu. wishing you all the best
 
Ushauri umepokelewa kwa mikono miwili!
 
Hii gari thamani yake haizidi M5. Gari ya 2002 tena imetumika Bongo, namba yenyewe ni B. Acheni utani kwenye vitu serious. Au we Dalali mpya?

Kwa kibongo bongo Registration namba za magari hazina maana yo yote ni kudanganyana tu. Cha muhimu ubora wa gari.

Mfano:

Gari iliyotengenezwa mwaka 1990 Japan na ikatumika Japan, ikiletwa Tanzania leo hii inapata namba inayoanzia na D..
labda DDB au DBQ nakadhalika.

Iliyotenezwa mwaka 2017 Japan, ikifika bongo inapewa namba DCA.

Iliyotengenezwa mwaka 1986 Japan kama hizi Saloon za Toyota Carina zinazoaminiwa kwa uimara na madreva taxi wengi wa bongo, ikiingia bongo sasa hivi kutogaJapan au Dubai, inapewa namba labda DEF na kadhalika.

Nafikiri mfumo huu wa namba hauna mahusiano kabisa na umri wa gari ili mradi namba tu. Watu walio wengi hawalijui hili.

Wake up men....
 
Unajuta kumiliki gari kweli tutaishi kama mizimu
 
You are viewing Valuation Details of a 2006 TOYOTA LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB - SUV.

CIF
Dar es Salaam
$10,692 + TOTAL TAXES (TSHS):23,006,366.92

kaka kweli gari iko ghali ila sasa kuiuza wakati huu ndo utata aisee
 
Sasa Mkuu umetumia Business Model ipi kuthaminisha gari kwa valuation tofauti ya mwaka 2006?

Let me guess! Kwamba, kwavile hii gari ni ya 2002, ndipo uka-assume ni miongoni mwa zile ambazo ziliagizwa 2006! Kama assumption yako ndiyo hiyo:
  • Je, unataka kuniambia gari zooooote za hiyo model ambazo ziliingia TZ mwaka 2006 ziliuzwa kwa $10,692 bila kujali factors zingine zinazo-determine bei ya magari kama vile mileage n.k?
  • Ina maana hapakuwa na dollar fluctuation kwa mwaka mzima?
  • Kwanini umetumia valuation ya 2006 na sio ya 2002, 2003, 2004, 2005 au after 2006?
And to be honest, hiyo thamani uliyoweka haijafika hata nusu ya ile iliyotumika hadi gari kuingia gari pale ilipoagizwa!
 
Hii Prado asking price ni overpriced. Tokea ianze kutembea TZ thamani yake itakuwa ime depreciate kwa kiasi kikubwa. Leo hii ukiagiza 2002 Toyota Prado kutoka Japan utalipa 35.5 mil or less kutegemea bei halisi uliyonunulia. Sasa iweje gari ya namba B imechoka namna hiyo iuzwe kwa 28 mil?

Reference Number:17183088386
Make: TOYOTA
Model: LANDCRUISER PRADO SERIES - 120 / 121 LWB
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2002
Country: JAPAN
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 7,283.65
Import Duty (USD): 1,820.91
Excise Duty (USD):910.46
Excise Duty due to Age (USD): 2,731.37
VAT (USD): 2,365.16
Custom Processing Fee (USD): 43.70
Railway Dev Levy (USD): 109.25
Total Import Taxes (USD): 7,980.86
Total Import Taxes (TSHS): 18,255,332.19
Vehicle Registration Fee (TSHS): 550,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 18,805,332.19
 
Naona umefanya kazi kubwa sana, tena ya ziada. What are you trying to achieve sir?
 
Objectivity
Oh!! I love being objective though I hate seeing myself I lack objectivity! I think all this is because of how we're born, raised or even the type of schools we attended, right sir?!
 
Naona umefanya kazi kubwa sana, tena ya ziada. What are you trying to achieve sir?
Hapo anakuelewesha kuwa umeoverprice gari uliyopewa kuuza. Kama ukiagiza Leo kutoka Japan model ya gari unayotaka kuuza unapata kwa chini ya 20m. Sasa iliyotumika Bongo zaidi ya miaka 10 huwezi uza zaidi ya bei ya kuagiza gari kutoka Japan. Nduguyangu nenda kwenye uhalisia itauzika. Hapo wataalam wa kuagiza na wanunuzi wa magari wanakushangaa.. Ndio maana nikakuambia kuwa mkweli na nafsi yako.
 
Back
Top Bottom