Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen


Polepole tu utakuwa fundi hapo baadae
 

Kuna utumbo zaidi ya uliokuja nao wa kujisfu kuvunja sheria? eti mimi naenda "130", ulifikiri utasifiwa ujinga wako? punguani punguani tu, huwezi kuelimika maisha yako. Hata umaliziwe walimu wa dunia unabaki kuwa hiyvo-hivyo tu. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yako na mimi.
 
Bahati mbaya sifanyi kitu ili nisifiwe, siko kwajili ya kumridhisha au kumsifia mtu hasa nikijua kuwa kuna vichaa kama nyie......hata hivyo sioni kama kulikua na sababu ya wewe ku-comment kwenye huo "utumbo". kitu cha kushangaza kinachonipa mashaka na akili yako na uwezo wako wa kufikiri ni kuona jinsi unavyofanya hitimisho kuwa mimi ni punguani na kwamba hakuna namna ambayo ninaweza kubadilika, Kweli? unakaa kwenye Key board unahitimisha hivyo? Hahahahaaa haya tuendelee Mimi Punguani na Wewe mwenye akili......
 
Kutokana maelezo ya mafundi kwa ilivyoundwa haiwezi kuchomoka ikiwa kwenye speed ila itachomoka pale unapoondoka tu.
 
imeshasikia pia kuna mshaki anayo analalamikia instability kwenye rough road hasa yaani kwenye rasta haikawii kukutupa pembeni
 

hahaa umenikumbusha mzinga mmoja sitausahau. prado zina matatizo yake kwenye barabara zetu zenye bumps, bumps ni nightmare kwa prado. gx100 zenyewe ni kujipiga "mtama", subiri nakuja mkuu.
 

kuna siku niliendesha kwenda lindi,kuna strecht ina kibao cha max speed 120km/hr. au nilishatoka tanzania bila kujijua!!
 

Ha ha haaaaa sterling nini my dada??????!!!
With time kamauna interest utajua tu we uliza tu kitu na kazi yake na kikiwa kibovu kinatoa dalili gani utajua!!!!!
 
hahaa umenikumbusha mzinga mmoja sitausahau. prado zina matatizo yake kwenye barabara zetu zenye bumps, bumps ni nightmare kwa prado. gx100 zenyewe ni kujipiga "mtama", subiri nakuja mkuu.
Ha ha haa hizo kaka ukisikia knock chini wahi ball joints fasta la sivyo shavu linakalia tyre!!!!!
 
ina shida ya stability

i am a person who drive long distance, ila nikiendesha prado nachoka sana kwasababu ni gari inayohitaji full attention, jiwe dogo linaweza kuitoa barabarani, breki kali inakutupa, kona ndogo inaweza kukutupa

gari inachupa

aisee mara ya kwanza kusafiri na hii prado 2002 1kd engine niliendesha dar hadi chalinze tu ila nilipoiacha chalinze na mwenda wa 120km/hr nilimwachia dereva nikamwambia hii gari itanichosha maanake kama ulivyosema inahitaji more then full attention....safari nzima una kazi ya kushindana na gari lisitoke barabarani sasa raha ya kuendesha iko wapi???
 
Kabisa kaka au uendeshe journey kwa experience ya breki za coaster lazima ikushangaze!!!!!!

Brake za journey balaa kuna moja lilinitesa kutoka kasumulu to dar na mguu moja tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…