Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

Huwa ni kazi sana, sababu unahisi unaibiwa, halafu hujui unaibiwa nini na wapi.

Mie kuna fundi mmoja nilimpata, nikamwambia, hata ukiniibia poa, ila unitengenezee kiukweli. Hukawii kuambiwa kubadili vifaa, afu hata hawakuwekei vipya.

Kuna siku nimeambiwa mshikio wa sterling umepasuka, nikaambiwa 250,000. Hadi leo sijawahi kuelewa kilikuwa ni nini.

Polepole tu utakuwa fundi hapo baadae
 
Ni kweli nina IQ finyu sana ndio maana wewe mwenye IQ kubwa unajitahidi ku-argue nonsense na mtu mwenye IQ ndogo (wewe ambae si Mtanzania)

Hata hivyo sielewi kwanini unapenda kujipa maisha ambayo huna, mbona tunakujua maisha yako ni ya kawaida sana? Usijifiche nyuma ya Keyboard ukadhani hujulikani, sasa ungekua na aikili kweli sidhani kama ungeongea utumbo kama huo eti Watanzania wana IQ ndogo sana....poor you.

Ok umeshinda

Kuna utumbo zaidi ya uliokuja nao wa kujisfu kuvunja sheria? eti mimi naenda "130", ulifikiri utasifiwa ujinga wako? punguani punguani tu, huwezi kuelimika maisha yako. Hata umaliziwe walimu wa dunia unabaki kuwa hiyvo-hivyo tu. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yako na mimi.
 
Kuna utumbo zaidi ya uliokuja nao wa kujisfu kuvunja sheria? eti mimi naenda "130", ulifikiri utasifiwa ujinga wako? punguani punguani tu, huwezi kuelimika maisha yako. Hata umaliziwe walimu wa dunia unabaki kuwa hiyvo-hivyo tu. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yako na mimi.
Bahati mbaya sifanyi kitu ili nisifiwe, siko kwajili ya kumridhisha au kumsifia mtu hasa nikijua kuwa kuna vichaa kama nyie......hata hivyo sioni kama kulikua na sababu ya wewe ku-comment kwenye huo "utumbo". kitu cha kushangaza kinachonipa mashaka na akili yako na uwezo wako wa kufikiri ni kuona jinsi unavyofanya hitimisho kuwa mimi ni punguani na kwamba hakuna namna ambayo ninaweza kubadilika, Kweli? unakaa kwenye Key board unahitimisha hivyo? Hahahahaaa haya tuendelee Mimi Punguani na Wewe mwenye akili......
 
Kutokana maelezo ya mafundi kwa ilivyoundwa haiwezi kuchomoka ikiwa kwenye speed ila itachomoka pale unapoondoka tu.
 
imeshasikia pia kuna mshaki anayo analalamikia instability kwenye rough road hasa yaani kwenye rasta haikawii kukutupa pembeni
 
Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!

75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!

Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!

Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!

Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!

MANI, CYBERTEQ, RRONDO

hahaa umenikumbusha mzinga mmoja sitausahau. prado zina matatizo yake kwenye barabara zetu zenye bumps, bumps ni nightmare kwa prado. gx100 zenyewe ni kujipiga "mtama", subiri nakuja mkuu.
 
Nyinyi ndio mnasabisha ajali watu wanapoteza maisha yao halafu mnajisifu. Tanzania maximum speed ni 100Kph.

Kama una nia ya kujiua usitafutie balaa na wengine, kuna njia nyingi za kujipotezea maisha bila kupotezea maisha na wengine nazo zipo nje ya barabarani.

Huo ni ujinga na si sifa.

kuna siku niliendesha kwenda lindi,kuna strecht ina kibao cha max speed 120km/hr. au nilishatoka tanzania bila kujijua!!
 
Kama kuna vitu huwa namuona mtu jiniaz, ni akiongelea mambo ya mfumo wa gari. SIjui eksozi, sterling pound, kabyuleta na otoneta.


I know nothing, yaani ni Mungu saidia tu. Kasheshe ni kupeleka gereji, unaulizwa unafanya service ya nini na nini, najibu ya gari zima.

Ha ha haaaaa sterling nini my dada??????!!!
With time kamauna interest utajua tu we uliza tu kitu na kazi yake na kikiwa kibovu kinatoa dalili gani utajua!!!!!
 
hahaa umenikumbusha mzinga mmoja sitausahau. prado zina matatizo yake kwenye barabara zetu zenye bumps, bumps ni nightmare kwa prado. gx100 zenyewe ni kujipiga "mtama", subiri nakuja mkuu.
Ha ha haa hizo kaka ukisikia knock chini wahi ball joints fasta la sivyo shavu linakalia tyre!!!!!
 
ina shida ya stability

i am a person who drive long distance, ila nikiendesha prado nachoka sana kwasababu ni gari inayohitaji full attention, jiwe dogo linaweza kuitoa barabarani, breki kali inakutupa, kona ndogo inaweza kukutupa

gari inachupa

aisee mara ya kwanza kusafiri na hii prado 2002 1kd engine niliendesha dar hadi chalinze tu ila nilipoiacha chalinze na mwenda wa 120km/hr nilimwachia dereva nikamwambia hii gari itanichosha maanake kama ulivyosema inahitaji more then full attention....safari nzima una kazi ya kushindana na gari lisitoke barabarani sasa raha ya kuendesha iko wapi???
 
Kabisa kaka au uendeshe journey kwa experience ya breki za coaster lazima ikushangaze!!!!!!

Brake za journey balaa kuna moja lilinitesa kutoka kasumulu to dar na mguu moja tu..
 
Back
Top Bottom