MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Huwa ni kazi sana, sababu unahisi unaibiwa, halafu hujui unaibiwa nini na wapi.
Mie kuna fundi mmoja nilimpata, nikamwambia, hata ukiniibia poa, ila unitengenezee kiukweli. Hukawii kuambiwa kubadili vifaa, afu hata hawakuwekei vipya.
Kuna siku nimeambiwa mshikio wa sterling umepasuka, nikaambiwa 250,000. Hadi leo sijawahi kuelewa kilikuwa ni nini.
Polepole tu utakuwa fundi hapo baadae