Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

Toyota—Land Cruiser Prado 95
PRA number: 2006/8499
Date published: 17th May 2006

Product information

Product description
Manufactured April 17, 1996 through January 6, 1999.
Identifying features
N/A
What are the defects?
Due to insufficient strength of the rear axle shaft flange, a crack may develop at the neck of the flange if the vehicle is operated in certain driving conditions, such as repeated high speed driving on winding mountain roads. If the vehicle continues to be operated in this condition, the crack may expand and in the worst case, the flange could fracture causing wheel separation.
What are the hazards?
Death or injury.
Where the product was sold
Nationally
 
Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!

75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!

Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!

Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!

Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!

MANI, CYBERTEQ, RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Yasemayo ni kweli Prado inasumbua sana kwenye corner ,rasta ni tatizo halina balance ya kukutisha anytime yakutoa nje ya road,Vilevile kuchomoka tairi la mbele ni kawaida ya prado kama service ya miguu ya mbele hujaicheki so always cheki chini kaungalia nini kibovu bila hivyo itakutoa nishai anyday .Kwa uzoefu wangu nissan patrol/safari ni gari nzuri kwa Tanzania kutokana na barabara zetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ubovu wa gari kwa mujibu wa post moja hapo juu ni (rear axle???!!) sasa hapo unawekaje???!!!!
Kama tunaongelea rough road mi ningechukua defender Tdi 200 sababu ya heavy base na turbo power achilia mbali (base to ground) space!!!!

Mi nadhani tukubaliane kila gari ina mapungufu yake! !!!
 
Hivi kwa nini haya Ma Prado yanaongoza kuchomoka tairi la mbele? Nimeshakutana na jamaa kama wanne hivi katika nyakati tofauti tofauti wakiwa wamechomokewa na tairi za mbele. Nikawaza kama wangepatwa na maswahibu hayo katika speed kubwa, si ingekuwa ni balaaa?
Jamani mnaomiliki haya magari kwa usalama wenu, hakikisheni mmebadilisha vikorokoro vinavyoshikilia matairi ya mbele ili kukwepa balaa hili!

hata mimi sijui sababu...ila na mimi nishakutana na kesi tatu za Prado kuchomoka tairi la mbele ni zile za 2000-2002 hivi.
 
Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!

75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!

Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!

Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!

Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!

MANI, CYBERTEQ, RRONDO

Z

Z

prado 1kzd au 1kd 2000-2002 kaka hii kitu ni hatari....inachomoka sana ball joint za mbele na tairi kung,oka sometime. nishakutana na cases kama tatu tofauti. kingine hii gari sio stable kabisa na inakimbia sana....ukichanganya mbio na instability unapata majanga hasa kwa madereva 'wanaosikilizia mluzi wa turbo'

kwa upande mwingine tolea la mbele yake 2003/4/5 sijawahi kukutana na issues za kuchomoka tairi au ball joint na ziko stable na very smooth ride kama hio hapo chini
9k=

9k=

kiufundi sina jibu kwanini hizi gari zinachomoka sana tairi/ball joint.
 
Hii habari ya kutokuaminika kwa Prado ni habari common kiasi, hata hivyo habari hii itoshe kuwa angalizo kwa wote wenye haya magari. Binafsi naamini ya kwamba Prado ikitunzwa vizuri hasa kwa service ya mara kwa mara kabla hujaanza safari ndefu, pia kuzingatia ushauri kuhusu instability ya gari kwenye upepo, Prado yaweza kuishi maisha marefu tu.
 
Nyinyi ndio mnasabisha ajali watu wanapoteza maisha yao halafu mnajisifu. Tanzania maximum speed ni 100Kph.

Kama una nia ya kujiua usitafutie balaa na wengine, kuna njia nyingi za kujipotezea maisha bila kupotezea maisha na wengine nazo zipo nje ya barabarani.

Huo ni ujinga na si sifa.
hahahahahaaa Mpwa wangu sijui unaelewa unachoongea kweli au umeamua tu kuongea? Tuachane na mimi hebu napatie muda basi linaotoka Mwanza kwa mfano kuja Dar linatembea Speed ngapi hadi kufika Dar saa mbili, au Songea Dar saa 12 asubuhi hadi saa moja usiku Dar basi tuyaache hayo yote nikuulize swali la kizushi, kwanini bara bara zetu mwisho uwe speed 100Km/h (kama ni kweli) kuna tatizo gani? hahahhahahahaa karibu chai
 
Kama kuna vitu huwa namuona mtu jiniaz, ni akiongelea mambo ya mfumo wa gari. SIjui eksozi, sterling pound, kabyuleta na otoneta.

I know nothing, yaani ni Mungu saidia tu. Kasheshe ni kupeleka gereji, unaulizwa unafanya service ya nini na nini, najibu ya gari zima.

Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!

75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!

Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!

Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!

Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!

MANI, CYBERTEQ, RRONDO
 
hahahahahaaa Mpwa wangu sijui unaelewa unachoongea kweli au umeamua tu kuongea? Tuachane na mimi hebu napatie muda basi linaotoka Mwanza kwa mfano kuja Dar linatembea Speed ngapi hadi kufika Dar saa mbili, au Songea Dar saa 12 asubuhi hadi saa moja usiku Dar basi tuyaache hayo yote nikuulize swali la kizushi, kwanini bara bara zetu mwisho uwe speed 100Km/h (kama ni kweli) kuna tatizo gani? hahahhahahahaa karibu chai

Wewe kigezo chako cha kuvunja sheria ni kwa kuwa mwengine anavunja sheria

What an argument! No doubt Watanzania wengi IQ zao ni finyu sana.
 
Hahahahaaaaa Waziri wa Fedha alisema eti yamechakaaa Ndio maana yanapata ajali. Mimi Naka Duet kangu natembea 130 kwenye corner, napishana na mabasi nikiwa 140 bila kuhisi hata mtikisiko. Nyie endeleeni na hayo maPadro yenu.

Mpwa hata mtkikisiko hupati kweli na hii mibasi mikubwa.
 
Kama kuna vitu huwa namuona mtu jiniaz, ni akiongelea mambo ya mfumo wa gari. SIjui eksozi, sterling pound, kabyuleta na otoneta.

I know nothing, yaani ni Mungu saidia tu. Kasheshe ni kupeleka gereji, unaulizwa unafanya service ya nini na nini, najibu ya gari zima.

Kongosho mmenichekesha sana sasa ukute tajiri bahili ndio utachoka. Niliwahi kuta mama analist ya vifaa ya kununua basi ameandikiwa tire rod end za nyuma wakati gari yake ni corolla.
 
Wewe kigezo chako cha kuvunja sheria ni kwa kuwa mwengine anavunja sheria

What an argument! No doubt Watanzania wengi IQ zao ni finyu sana.
Ni kweli nina IQ finyu sana ndio maana wewe mwenye IQ kubwa unajitahidi ku-argue nonsense na mtu mwenye IQ ndogo (wewe ambae si Mtanzania)

Hata hivyo sielewi kwanini unapenda kujipa maisha ambayo huna, mbona tunakujua maisha yako ni ya kawaida sana? Usijifiche nyuma ya Keyboard ukadhani hujulikani, sasa ungekua na aikili kweli sidhani kama ungeongea utumbo kama huo eti Watanzania wana IQ ndogo sana....poor you.

Ok umeshinda
 
Mpwa ngoja siku moja twende zetu bonde uone, yaani huwezi amini as if uko angani ilwa speed yako ile mie siiwezi hahahhaaaaa

Sasa mpwa yangu si ilikuwa 140 tu.
 
Huwa ni kazi sana, sababu unahisi unaibiwa, halafu hujui unaibiwa nini na wapi.

Mie kuna fundi mmoja nilimpata, nikamwambia, hata ukiniibia poa, ila unitengenezee kiukweli. Hukawii kuambiwa kubadili vifaa, afu hata hawakuwekei vipya.

Kuna siku nimeambiwa mshikio wa sterling umepasuka, nikaambiwa 250,000. Hadi leo sijawahi kuelewa kilikuwa ni nini.

Back
Top Bottom