jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Mimi haijatupa mtu na Imetembea Iringa Dar at 150km
Dodoma Dar at 150.
Haijafanyiwa service iko Dar inaendelea poa TRJ120 Prado 2005
Andaa risala ya kuwasomea litakapokufikisha kuzimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi haijatupa mtu na Imetembea Iringa Dar at 150km
Dodoma Dar at 150.
Haijafanyiwa service iko Dar inaendelea poa TRJ120 Prado 2005
Yasemayo ni kweli Prado inasumbua sana kwenye corner ,rasta ni tatizo halina balance ya kukutisha anytime yakutoa nje ya road,Vilevile kuchomoka tairi la mbele ni kawaida ya prado kama service ya miguu ya mbele hujaicheki so always cheki chini kaungalia nini kibovu bila hivyo itakutoa nishai anyday .Kwa uzoefu wangu nissan patrol/safari ni gari nzuri kwa Tanzania kutokana na barabara zetu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hivi kwa nini haya Ma Prado yanaongoza kuchomoka tairi la mbele? Nimeshakutana na jamaa kama wanne hivi katika nyakati tofauti tofauti wakiwa wamechomokewa na tairi za mbele. Nikawaza kama wangepatwa na maswahibu hayo katika speed kubwa, si ingekuwa ni balaaa?
Jamani mnaomiliki haya magari kwa usalama wenu, hakikisheni mmebadilisha vikorokoro vinavyoshikilia matairi ya mbele ili kukwepa balaa hili!
Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!
75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!
Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!
Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!
Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!
MANI, CYBERTEQ, RRONDO
hahahahahaaa Mpwa wangu sijui unaelewa unachoongea kweli au umeamua tu kuongea? Tuachane na mimi hebu napatie muda basi linaotoka Mwanza kwa mfano kuja Dar linatembea Speed ngapi hadi kufika Dar saa mbili, au Songea Dar saa 12 asubuhi hadi saa moja usiku Dar basi tuyaache hayo yote nikuulize swali la kizushi, kwanini bara bara zetu mwisho uwe speed 100Km/h (kama ni kweli) kuna tatizo gani? hahahhahahahaa karibu chaiNyinyi ndio mnasabisha ajali watu wanapoteza maisha yao halafu mnajisifu. Tanzania maximum speed ni 100Kph.
Kama una nia ya kujiua usitafutie balaa na wengine, kuna njia nyingi za kujipotezea maisha bila kupotezea maisha na wengine nazo zipo nje ya barabarani.
Huo ni ujinga na si sifa.
Hebu kuweni specific prado gani inaongelewa na kama ni stability tuchambue mifumo ya chini kama ni tie rods, suspensions, coil au leaves, swivels n.k !!!!
75 na 90W Kzj model au RX na TX achilia mbali miaka na matoleo???!!!!!
Gari inakuwa assembled sasa tukisema tu haina stability wakati wengine tunatumia long distance, Dar - Makambako say,unless iwekwe wazi hapa nini haswa kinakuwa criticized kwa gari husika!!!!! Nini kinasababisha tairi kuchomoka?????!!!!!
Hivi kuna gari inaongoza kwa matatizo ya kuhama tairi kama Mark11 gx model especially 100series????!!!!!
Gari ina height ndefu na a bit narrow base ukitaka kuendesha kama unaendesha vx au rover hapa mimi ntakulaumu dereva na sio gari!!!!!
MANI, CYBERTEQ, RRONDO
hahahahahaaa Mpwa wangu sijui unaelewa unachoongea kweli au umeamua tu kuongea? Tuachane na mimi hebu napatie muda basi linaotoka Mwanza kwa mfano kuja Dar linatembea Speed ngapi hadi kufika Dar saa mbili, au Songea Dar saa 12 asubuhi hadi saa moja usiku Dar basi tuyaache hayo yote nikuulize swali la kizushi, kwanini bara bara zetu mwisho uwe speed 100Km/h (kama ni kweli) kuna tatizo gani? hahahhahahahaa karibu chai
Hahahahaaaaa Waziri wa Fedha alisema eti yamechakaaa Ndio maana yanapata ajali. Mimi Naka Duet kangu natembea 130 kwenye corner, napishana na mabasi nikiwa 140 bila kuhisi hata mtikisiko. Nyie endeleeni na hayo maPadro yenu.
Mpwa ngoja siku moja twende zetu bonde uone, yaani huwezi amini as if uko angani ilwa speed yako ile mie siiwezi hahahhaaaaaMpwa hata mtkikisiko hupati kweli na hii mibasi mikubwa.
Kama kuna vitu huwa namuona mtu jiniaz, ni akiongelea mambo ya mfumo wa gari. SIjui eksozi, sterling pound, kabyuleta na otoneta.
I know nothing, yaani ni Mungu saidia tu. Kasheshe ni kupeleka gereji, unaulizwa unafanya service ya nini na nini, najibu ya gari zima.
Ni kweli nina IQ finyu sana ndio maana wewe mwenye IQ kubwa unajitahidi ku-argue nonsense na mtu mwenye IQ ndogo (wewe ambae si Mtanzania)Wewe kigezo chako cha kuvunja sheria ni kwa kuwa mwengine anavunja sheria
What an argument! No doubt Watanzania wengi IQ zao ni finyu sana.
Mpwa ngoja siku moja twende zetu bonde uone, yaani huwezi amini as if uko angani ilwa speed yako ile mie siiwezi hahahhaaaaa
Kongosho mmenichekesha sana sasa ukute tajiri bahili ndio utachoka. Niliwahi kuta mama analist ya vifaa ya kununua basi ameandikiwa tire rod end za nyuma wakati gari yake ni corolla.