Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
It is possible, kwanza kutegemea na dereva na pia. Lakini siku zote gari za chini ni stable kuliko za juu na hivyo, dereva anakua makini kwa sababu ya madhara ya upepo na stability kutokana na balance ya Centre Of Gravity/Centroid!Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio (model ya kati ) inakimbia zaidi kuliko Nissan Xtrail....
Unaweza kuwa sahihi, maana nimeziona mbili tofauti kwenye safari ndefu. Na zote ziko vizuri kwakweli.Nakataa kama ni Nissan xtrail new model inatembea balaa
Jamaa anamiliki zote na anasema Toyota Premio inakimbia zaidi.Unaweza kuwa sahihi, maana nimeziona mbili tofauti kwenye safari ndefu. Na zote ziko vizuri kwakweli.
Bado hujakua. Ukijua utagundua kila anayenunua gari kuna vitu anahitaji. Habari za mafundi na spares hivyo ni vitu ambavyo wengine si big deal. Anaona gari anauliza lina speed kiasi gani?from 0-100 inatumia sekunde au dk ngapi then anaamua. Ni utoto kudhani unachotaka wewe kwenye gari ndicho anachotaka na Ali. Ukikua utagundua priorities differ.Haya mambo ya sijui gari fulani inakimbia sana ni utoto wa chekechea na darasa la kwanza!Nilipokuwa chekechea ndiyo umri pekee ambao nilikuwa nashobokea gari kukimbia sana.Ukimuona mtu mzima anashobokea magari kukimbia jua huyo ni punguani.Mtu mzima unapaswa uzungumzia mambo ya features za usalama,durability ya gari,fuel economy,upatikanaji wa mafundi wa kisasa na kadhalika.
Mi nataka gari inayokimbia. Tena inakimbia vibaya mno.Haya mambo ya sijui gari fulani inakimbia sana ni utoto wa chekechea na darasa la kwanza!Nilipokuwa chekechea ndiyo umri pekee ambao nilikuwa nashobokea gari kukimbia sana.Ukimuona mtu mzima anashobokea magari kukimbia jua huyo ni punguani.Mtu mzima unapaswa uzungumzia mambo ya features za usalama,durability ya gari,fuel economy,upatikanaji wa mafundi wa kisasa na kadhalika.
Unakimbia kwa ajili gani?Mambo ya ligi za barabarani?Utasikia sijui "leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza prado hadi imesalim amri!"Huu kama siyo utoto ni nini?Mi nataka gari inayokimbia. Tena inakimbia vibaya mno.
Horsepower ndo kigezo cha kwanza kabisa kuangalia ninapotaka kununua gari...
me naona kila mtu abaki na chake,we baki na ukubwa wako na Chizi Maarifa/Bavaria abaki na utoto wake,period.Unakimbia kwa ajili gani?Mambo ya ligi za barabarani?Utasikia sijui "leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza prado hadi imesalim amri!"Huu kama siyo utoto ni nini?
Hoja sahihi siyo kusema kila mtu abaki na chake.Hoja sahihi ni kila mtu abaki na kilicho sahihi.Kwani kwa mfano kama Juma kilicho chake barabarani ni kuona fahari kugonga wenzake kwa gari lake tunaweza kusema kuwa abaki na chake?me naona kila mtu abaki na chake,we baki na ukubwa wako na Chizi Maarifa/Bavaria abaki na utoto wake,period.
Zote ni Japan 2nd hand. Hazijapishana sana kununuliwa na ilianza Toyota Premio. Na jamaa anasema kwenye high road safari ya kukata mikoa. Kwenye lami. Tairi zote ni nzuri.Kutokimbia kwa hizi gari kunatofautiana na mambo mengi ya kiufundi, zote ziwe mpya au 2nd hand
hapa zimeshindanishwa gari za Kampuni tofauti Nissan na Toyota....
Mi nakwambia. Ukikua utaelewa. Wewe penda unachopenda kwneye gari na mwingine atapenda anachopenda. Wengine kuendesha ni hobby pia so anataka zaidi ya usafiri. Kuna vitu vya pekee anaweza taka kwenye gari.Hoja sahihi siyo kusema kila mtu abaki na chake.Hoja sahihi ni kila mtu abaki na kilicho sahihi.Kwani kwa mfano kama Juma kilicho chake barabarani ni kuona fahari kugonga wenzake kwa gari lake tunaweza kusema kuwa abaki na chake?...