Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Nani alikwambia anafanya ligi? Mambo niliyoyafanya nikiwa na miaka 20 huko.Unakimbia kwa ajili gani?Mambo ya ligi za barabarani?Utasikia sijui "leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza prado hadi imesalim amri!"Huu kama siyo utoto ni nini?
Wewe na uzee wako safety feature ipi unaipata kwa Premio au Crown?
Kwamba unataka kununua gari ya milioni 15 uumize kichwa kuhusu safety feature.
Nunua gari ya 150M na kuendelea utazipata hizo features bila kuuliza kwa mtu.
Ila hizo IST zenu hakuna kitu.