Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Choice za wengine zinazoumiza maisha ya wengine zinapaswa kulaaniwa na kukemewa!Utasikia sijui "Leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza Prado hadi imesalim amri!",hii ni choice inayoumiza wengine kwa sababu kuanzisha ligi barabarani inaweza kusababishia wengine ajali ikapelekea vifo au vilema kwa watu ambao hawana hatia!
You are very right mzee,

Lakini siunajua pia, hata ile league ya kuchakata misambwanda hua zinaumiza maisha ya wengine pia?
 
Ulikuwa pozi Tu Kwaajili ya picha Mkuu Ila ushauri wako naupokea
Mdogo wangu pureView Zeiss mwendo huo na jinsi ulivyoshika steering wheel unaonesha hujaiva. Nikushauri tu ukiwa mwendo mkubwa shika usukani saa tatu kasorobo au saa tatu na robo.
NB: Angalia mishale ya saa katika muda huo inakaaje ndio mikono yako ikae hivyo.
 
Very important. Mkono kushoto hapo alipouweka sipo
 
Mdogo wangu pureView Zeiss mwendo huo na jinsi ulivyoshika steering wheel unaonesha hujaiva. Nikushauri tu ukiwa mwendo mkubwa shika usukani saa tatu kasorobo au saa tatu na robo.
NB: Angalia mishale ya saa katika muda huo inakaaje ndio mikono yako ikae hivyo.
Hapo mkono ulipo rahisi sana yeye mwenye kujitupa likitoa la ghafla bin vuuu.. anajiingiza kingi vizuri. Ma barabarani yenyewe haya yalivyo na migongo
 
Mkuu NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK unataka kufanya mada iwe ngumu sana hizo CVT au VVTi ni mada tofauti kabisa, Premio zimeanza kutumia 1NZ FE toka 2002 sasa hayo mambo ya miaka yanatoka wapi? why unanze ku complicate mambo mkuu. Naomba usianzishe mjadala usio na umuhimu nakuelewa unachomaanisha na ninaelewa unachoongea ila umeamua uonekane unajua jambo, Ukitaka tuzidishe nitakyuamisha hado kwenye torque

Ivi unajua kua adi premio ya mwaka 2017 inatumia engine ya 1Nz..unategemea tecnologia ya Nz ya deplacement ya premio ya kwaka 2003 na replacement ya engine ya premio mwaka 2017 ni sawa..wacha kuchekesha.
 
Umemuelewa mto mada ameongelea premio ya kipindi gani lakini? au unaleta ujuaji usio na maana, hicho unachokiongelea hakina maana hata kidogo na akikidhi criteria ya mtoa mada ameshasema premio hizi model za kati. Wewe hiyo ya 2017 umeowaona nao vijana gani wanazurula nazo hapa mjini? Sioni hata unachobisha na uwezi kunifundisha mie Engine Systems na zinavyofanya kazi kwa taarifa yako, ukitaka tujadili hili fungua uzi wako wa Engine Varieties na tutachangia na kukubomoa huko huko.
 
Back
Top Bottom