Gari ipo wapi niionepanda panda kiongozi
Hii gari ilipata ajali ikanyooshwa na kupakwa rangi. Sasa ndio anaiuza.Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: 6M
Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202
M6 watu wanaendesha BREVIS wee unauza Starlet kila la heriToyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: 6M
Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202
Usinunue gari iliyopigwa rangi aiseendio imepigwa rangi shida nini kiongozi gari ikipigwa rangi
Kabisaa! Otherwise atakuja kuuza 3mKweli hiyo bei ya morogoro. Starlet hata iwe number plate DPT bado huuzi kwa 6M. Kama yupo serious achukue 4M ya mdau hapo juu
Ikiendeshwa na mdada huwa inatumia maji badala ya petrolisijajua maana ya swala zima la kuendeshwa na mdada?