SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

Status
Not open for further replies.

germanium

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
776
Reaction score
1,116
Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: ishauzwa 4m

Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202
 
Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: 6M

Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202
Hii gari ilipata ajali ikanyooshwa na kupakwa rangi. Sasa ndio anaiuza.
 
Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: 6M

Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine model: 4E-FE
Engine capacity: 1330 cc
Sehemu ilipo: morogoro
Mawasiliano: 0622994202
M6 watu wanaendesha BREVIS wee unauza Starlet kila la heri
 
Hahahaaaa 6m starlet?!?! Hauko serious mkuu.
 
Hapo Moro kuna jamaa anauza Escudo bomba sana Kwa 4m. Sasa starlet Kwa 6m utapata taabu sana kuiuza mkuu
 
Sitaki kusoma comment za wadau maana---- 6m starlet? Haya bana! Nyie uzeni tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom