SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

SOLD: Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada

Status
Not open for further replies.
Kweli hiyo bei ya morogoro. Starlet hata iwe number plate DPT bado huuzi kwa 6M. Kama yupo serious achukue 4M ya mdau hapo juu
mkuu ukiagiza starlet nje inazidi 7m ishuru tu ni 3m+,anyway hiyo bei hapo ni negotiable
 
M6 watu wanaendesha BREVIS wee unauza Starlet kila la heri
mkuu kila mtu ana priorities zake binafsi brevis hata unipe bure sichukui sipendi fuel consumption yake
 
Gari zinazoendeshwa na wadada ndio huwa na engine vimeo kupitiliza. Asilimia kubwa sio watu wa kufanya service kwa wakati.
 
Hapo Moro kuna jamaa anauza Escudo bomba sana Kwa 4m. Sasa starlet Kwa 6m utapata taabu sana kuiuza mkuu
mkuu escudo spares zake ni balaa.6m inashuka usiogope njoo tuyajenge
 
mkuu ww ushawahi kununua gari isiyopigwa rangi au wapi wanauza gari zisizopigwa rangi? shida ni nini hasa gari ukipigwa rangi
Mkuu,
Kwa hilo swali ulouliza hapo [emoji115]

Bila shaka utakua hujui chochote kuhusu magari.

Probably, Utakua kwenye kozi ya dalali kwa vitendo
 
Mkuu,
Kwa hilo swali ulouliza hapo [emoji115]

Bila shaka utakua hujui chochote kuhusu magari.

Probably, Utakua kwenye kozi ya dalali kwa vitendo

Hata mimi namsaidia gari ikipigwa rangi kuna ubaya gani? Au labda utoe sababu zako lakin c general tu eti usinunue gari ilipigwa rangi. Ukute hata gari yenyewe hujawahi kumili unadandia maneno ya mtaani tu.
 
ndio imepigwa rangi shida nini kiongozi gari ikipigwa rangi
Hakuna Gari Isiyo na Rangi, Hata Japan huko Magari ya Rangi,
Ila Gari ikirudiwa Rangi hapa TZ means ilipata tatizo labda (ajali) ndio ikapelekea kurudiwa rangi,

1541733509998.png

1541733725255.png
 
Hata mimi namsaidia gari ikipigwa rangi kuna ubaya gani? Au labda utoe sababu zako lakin c general tu eti usinunue gari ilipigwa rangi. Ukute hata gari yenyewe hujawahi kumili unadandia maneno ya mtaani tu.
kijana ameelewa...karibu sana mkuu saju b
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom