Hapa mjadala wote umeishaBila unafiki, izo zote ni ndogo sana. Zote ni subcompact hatchback. Neno nafasi kubwa halitumiki kwa wote ila atleast Vitz.
Pili, Starlet ni gari ya zamani sana. Model yake ya mwisho iliitimishwa mwaka 2000 nadhani. Kwahiyo unaulizia gari ya miaka 26 nyuma. Vitz atleast unaweza kutana na models za recent.
Kuhusu safari ndefu, mchawi ni ubora wa gari. Ukiifanyia service inafika bila shida.
Ingekua hamna option, zaidi ya izo mbili, mimi ningechagua Vitz.
We jamaa huwa unajibu vile vile kama swali lilivyoulizwa. Umenyooka sana. Kuna mtu hapo juu kaanza kusema habari za mazda dah😀Bila unafiki, izo zote ni ndogo sana. Zote ni subcompact hatchback. Neno nafasi kubwa halitumiki kwa wote ila atleast Vitz.