Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watu tunaangalia tija ya hizo tozo ....siyo kuwepo duniani ...hizo nchi unazo sema duniani zimejenga miundombinu, maviwanda, vyuo nk hapa Tanzania mama yenu anakusanya kodi kwa ajili ya MAFISADI TU NA SIYO KWA AJILI YA WANANCHIHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...
Ni kweli, lakini tozo hii ni kwa ajili ya serikali kujipatia mapato.Mi naona kama umechanganya mafaili kidogo. Kwasababu kuna tozo ya benk na tozo ya serikali. Yaani bank tangu hapo kabla walikuwa wanakata kiasi fulani wakati wa kutoa, kama ilivyokuwa kwenye mitandao ya simu, sasa serikali nao wanakata tozo kwenye hiyohiyo hela ambayo tayari benk wamekata na watawalipa serikali gawio lao.
This is double taxation!
Kukata kodi au tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hichohicho ni wizi!
Hizo hazina hizo kodi, nimewahi kuwa hizo nchi bank charge ni ya mwezi tu hamna zaidi ya hapo, withdrawal and transfer is free.Bila shaka unaongelea Nchi ambazo ukianguka barabarani ambulance inakuja na kupatiwa huduma bila kuulizwa malipo kwanza, sisi hapa utakatwa hiyo hela kiroho safi na ukifika kwenye huduma za Serikali/afya unahudumiwa kiroho mbaya.
Austria, Belgium, France, Greece, Hungary, Iceland, Latvia, the Netherlands, Poland, Portugal, Slovakia, Slovenia, Sweden, and the United Kingdom all levy bank taxes. Almost all of these countries implemented the levy between 2009 and 2012, with Greece (1975) and Poland (2016) the only exceptions.Hzo azina hzo kodi nmewahi kuwa hzo nchi bank charge ni ya mwez tu amna zaidi ya apo withdrawal and transfer is free
Nya-no-ko-o-oHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katka Mabenki ipo nchinyingine nyingi tu duniani, n kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Alimradi umeitumia benki upitisha malipo au mdeni, basi tozo(levy) inachajiwa kwa kila transaction.
Tatizo lililopo ni kiasi cha tozo hiyo.
Tozo hatuzipendi lakini tufanyeje?
Tatizo hujijui kama ni mjinga, Ulaya kuna kodi kubwa kuliko kwetu, Sasa jiulize mishahara na huduma za jamii tunalingana?Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katka Mabenki ipo nchinyingine nyingi tu duniani, n kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Alimradi umeitumia benki upitisha malipo au mdeni, basi tozo(levy) inachajiwa kwa kila transaction.
Tatizo lililopo ni kiasi cha tozo hiyo.
Tozo hatuzipendi lakini tufanyeje?
Halafu VAT ni kwa ajili ya nini?Ni kweli, lakini tozo hii ni kwa ajili ya serikali kujipatia mapato.
Haina uhusian na mapato ya benki.
Tozo vs KodiHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katka Mabenki ipo nchinyingine nyingi tu duniani, n kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Alimradi umeitumia benki upitisha malipo au mdeni, basi tozo(levy) inachajiwa kwa kila transaction.
Tatizo lililopo ni kiasi cha tozo hiyo.
Tozo hatuzipendi lakini tufanyeje?
Serikali tayari inachukua kodi kwenye makato ya benki yanayofanywa katika kila muamala.Hizi tozo ni wazo ovu na uvivu au kushindwa kutafuta chanzo cha mapato...dunia nzima inapambana na double taxation ...wizara imeamua kuharibu mfumo wa fedha huku BOT inaangalia bila kuchukua hatua yoyoteHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katka Mabenki ipo nchinyingine nyingi tu duniani, n kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Alimradi umeitumia benki upitisha malipo au mdeni, basi tozo(levy) inachajiwa kwa kila transaction.
Tatizo lililopo ni kiasi cha tozo hiyo.
Tozo hatuzipendi lakini tufanyeje?
Kiingereza kigumu soma tena uone zinavyokatwa bila kuwepo na kodi nyingine na nchi nyingine wamezifutaHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la!
Tozo katka Mabenki ipo nchinyingine nyingi tu duniani, n kodi hii kwa ujumla inaitwa Bank Transaction Tax.
Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Alimradi umeitumia benki upitisha malipo au mdeni, basi tozo(levy) inachajiwa kwa kila transaction.
Tatizo lililopo ni kiasi cha tozo hiyo.
Tozo hatuzipendi lakini tufanyeje?
Hebu jiridhishe hapo.Kiingereza kigumu soma tena uone zinavyokatwa bila kuwepo na kodi nyingine na nchi nyingine wamezifuta