imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hili swala sio la Kichama ni la Kitaifa kwa hiyo Mnyika aliongelee ili tujue 2025 sio mbali.Alishindwa kuongonza madamano ya nchi nzima wakati mwenyekiti wachama iko jela miazi (9).... mpaka ametoka wanachama wote kimyaaaa tu.