Tozo katika mabenki-Bank transaction Tax, kodi hii ipo Nchi nyingine duniani!

Tozo katika mabenki-Bank transaction Tax, kodi hii ipo Nchi nyingine duniani!

ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.

wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
 
Mi naona kama umechanganya mafaili kidogo. Kwasababu kuna tozo ya benk na tozo ya serikali. Yaani bank tangu hapo kabla walikuwa wanakata kiasi fulani wakati wa kutoa, kama ilivyokuwa kwenye mitandao ya simu, sasa serikali nao wanakata tozo kwenye hiyohiyo hela ambayo tayari benk wamekata na watawalipa serikali gawio lao.

This is double taxation!
Kukata kodi au tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hichohicho ni wizi!
Unadhani haelewi? Anajitia uchizi walau aonekane anafanya kazi ile buku 7 isome.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.

wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
Una chembe za ukichaa kichwani kwako.
 
Austria, Belgium, France, Greece, Hungary, Iceland, Latvia, the Netherlands, Poland, Portugal, Slovakia, Slovenia, Sweden, and the United Kingdom all levy bank taxes. Almost all of these countries implemented the levy between 2009 and 2012, with Greece (1975) and Poland (2016) the only exceptions.

Hizo nchi kiujumla zimekuwa kama welfare states.
Shukrani kwa kuzitaja
 
Zandrano ningekuunga mkono kama wanaotunga hizi sheria nao wangehakikisha waanalipa kodi zoote ambazo wananchi wengine tunalipa. Wahakikishe Hakuna cha Mbunge, hakuna cha Waziri wala Balozi wa nchi yetu, WOTE TULIPE KODI ZOTE KAMA INAVYOSTAHILI!!!!!!
 
Austria, Belgium, France, Greece, Hungary, Iceland, Latvia, the Netherlands, Poland, Portugal, Slovakia, Slovenia, Sweden, and the United Kingdom all levy bank taxes. Almost all of these countries implemented the levy between 2009 and 2012, with Greece (1975) and Poland (2016) the only exceptions.

Hizo nchi kiujumla zimekuwa kama welfare states.
Nchi nyingi zilizoendelea zina idadi ndogo sana ya kodi, zina riba za chini za bank (si zaidi ya 5%), tofauti na Tanzania yenye kodi zaidi ya 40, na riba kubwa kupindukia za mabenki kwenye mikopo (hadi 25%).
 
Mleta mada, amekurupuka. Kwenye maelezo hayo aliyoyanukuu, ameona VAT? Hao hawana VAT, tofauti na sisi.
 
Mi naona kama umechanganya mafaili kidogo. Kwasababu kuna tozo ya benk na tozo ya serikali. Yaani bank tangu hapo kabla...
Inauma sana.Na nadhani ni triple taxation kwa muhamala ule ule.
NCHI zilizoendelea zinaepeka sana double transaction.
 
Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...

Huwezi kutoza Kodi na tozo kwenye eneo moja. Huo ndio msimamo wangu. Pesa ikatwe Kodi na tozo kwa wakati mmoja.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu...

Muhuni ni wewe. Serikali yenyewe imehaidi kutoa ufafanuzi juu ya hili, halafu unaita wananchi wahuni.
 
Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...
Developed country sio sawa na wewe. Usimamizi wa kodi ni wa kisheria sio kisiasa siasa kama huko kwenu Nantumbo wilaya ya Busulanyoka.

Kinachowafanya watu wapaze sauti ni uhalali wa hizo kodi kwa manufaa yao (wananchi) Je, watanufaika?
 
Wale chawa tulieni.
Bank transaction charge ni mali ya banki ambayo imekuhudumia. Siii ya serekali. Lakini hebu tusaidiane mawazo Je hi tozo ni halali au hapana.
Mf. Mimi ninalipwa mshahara wangu kupitia benk. Salary slip yangu inaonyesha nimekatwa kodi ,nhif,nssf na malipo mengine yote kabisa kinachobaki ndio tunasema take home. Ninapo toa take home yangu serekali inanitoza hii haki. Kwasababu sijapata huduma yoyote ya serekali. Je wale ambao pesa zao hazipitii banki wanalipaje hiyo tozo????.
Bunge haliwezi kututetea sisi kwa sababu sii wabunge wetu. Wataitetea serekali iliyowaweka bungeni bila utaratibu na hao ndio wanata uharamu huu uwe halali . Mambo ya namna hii ni moja ya vikwazo kwa wawekezaji.na mtindo wa watu kuto kuhifadhi fedha zao baki utaongezeka.
 
Sisi tunasubiri mwongozo kutoka kwa Katibu wa Chadema Bwa John Mnyika.
Alishindwa kuongonza madamano ya nchi nzima wakati mwenyekiti wachama iko jela miazi (9).... mpaka ametoka wanachama wote kimyaaaa tu.
 
Back
Top Bottom