Unadhani haelewi? Anajitia uchizi walau aonekane anafanya kazi ile buku 7 isome.Mi naona kama umechanganya mafaili kidogo. Kwasababu kuna tozo ya benk na tozo ya serikali. Yaani bank tangu hapo kabla walikuwa wanakata kiasi fulani wakati wa kutoa, kama ilivyokuwa kwenye mitandao ya simu, sasa serikali nao wanakata tozo kwenye hiyohiyo hela ambayo tayari benk wamekata na watawalipa serikali gawio lao.
This is double taxation!
Kukata kodi au tozo zaidi ya mara moja kwa kipato hichohicho ni wizi!
Una chembe za ukichaa kichwani kwako.ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k
Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.
wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.
Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
Shukrani kwa kuzitajaAustria, Belgium, France, Greece, Hungary, Iceland, Latvia, the Netherlands, Poland, Portugal, Slovakia, Slovenia, Sweden, and the United Kingdom all levy bank taxes. Almost all of these countries implemented the levy between 2009 and 2012, with Greece (1975) and Poland (2016) the only exceptions.
countries taxing bank transactions - Bing
Mit der intelligenten Bing-Suche können Sie die gewünschten Informationen schneller und einfacher finden und dabei Punkte sammeln.www.bing.com
Hizo nchi kiujumla zimekuwa kama welfare states.
Zandrano ningekuunga mkono kama wanaotunga hizi sheria nao wangehakikisha waanalipa kodi zoote ambazo wananchi wengine tunalipa. Wahakikishe Hakuna cha Mbunge, hakuna cha Waziri wala Balozi wa nchi yetu, WOTE TULIPE KODI ZOTE KAMA INAVYOSTAHILI!!!!!!ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k
Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.
wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.
Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
O kununua mashangingi v8 hapana n nasema hapanaHizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...
Nchi nyingi zilizoendelea zina idadi ndogo sana ya kodi, zina riba za chini za bank (si zaidi ya 5%), tofauti na Tanzania yenye kodi zaidi ya 40, na riba kubwa kupindukia za mabenki kwenye mikopo (hadi 25%).Austria, Belgium, France, Greece, Hungary, Iceland, Latvia, the Netherlands, Poland, Portugal, Slovakia, Slovenia, Sweden, and the United Kingdom all levy bank taxes. Almost all of these countries implemented the levy between 2009 and 2012, with Greece (1975) and Poland (2016) the only exceptions.
countries taxing bank transactions - Bing
Mit der intelligenten Bing-Suche können Sie die gewünschten Informationen schneller und einfacher finden und dabei Punkte sammeln.www.bing.com
Hizo nchi kiujumla zimekuwa kama welfare states.
Inauma sana.Na nadhani ni triple taxation kwa muhamala ule ule.Mi naona kama umechanganya mafaili kidogo. Kwasababu kuna tozo ya benk na tozo ya serikali. Yaani bank tangu hapo kabla...
Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu...
Developed country sio sawa na wewe. Usimamizi wa kodi ni wa kisheria sio kisiasa siasa kama huko kwenu Nantumbo wilaya ya Busulanyoka.Hizi kodi zinauma.
Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la...
Hizo ni Nchi zenye vipato vizuri hebu angalia hapa Barani AFRICA hakuna kitu kama hicho.Kodi hii haichagui mnene au mfupi, tajiri au masikini, mwenye kipato na asiye na kipato.
Tatizo aongoze nani huo mgomo?Dawa ni kugoma kupiga kura tu.
Sisi tunasubiri mwongozo kutoka kwa Katibu wa Chadema Bwa John Mnyika.Tatizo aongoze nani huo mgomo?
Hahahaha Mnyika yupi?Sisi tunasubiri mwongozo kutoka kwa Katibu wa Chadema Bwa John Mnyika.
Alishindwa kuongonza madamano ya nchi nzima wakati mwenyekiti wachama iko jela miazi (9).... mpaka ametoka wanachama wote kimyaaaa tu.Sisi tunasubiri mwongozo kutoka kwa Katibu wa Chadema Bwa John Mnyika.