Tozo katika mabenki-Bank transaction Tax, kodi hii ipo Nchi nyingine duniani!

Alishindwa kuongonza madamano ya nchi nzima wakati mwenyekiti wachama iko jela miazi (9).... mpaka ametoka wanachama wote kimyaaaa tu.
Hili swala sio la Kichama ni la Kitaifa kwa hiyo Mnyika aliongelee ili tujue 2025 sio mbali.
 
Chawa mkubwa wewe..
Mbona hizo nchi huzitaji?
 
Hizo ni Nchi zenye vipato vizuri hebu angalia hapa Barani AFRICA hakuna kitu kama hicho.
Tatizo kubwa la watu wenye kipato kidogo ni kufikiri ni haki yao kikatiba kutolipa kodi.
Na pili wanafikiri ni haki yso kikatiba kutumia kodi waliyokatwa wengine.
 
Tatizo wanatumia kununua v8 za 500ml.ndio maana wananchi tunalalamika sana.
 
Tatizo kubwa la watu wenye kipato kidogo ni kufikiri ni haki yso kikatiba kutolipa kodi.
Na pili wanafikiri ni haki yso kikatiba ku kutumia kodi waliyokatwa wengine.
Lakini mkuu unajua principles za kodi nzuri 1. Lazime iwe progressive ulipwe kuligana na kipato, wenye hakuna vipato wasilipe kodi 2. Usilipishwe mara mbili kwa kipato kile kile kwa mtu ule ule, 3. Kuepo na value added au katika hiyo pesa kabla ya kodi.nk Kweli hizo tozo zinakidhi hivyo vigezo, au mnatetea bila kutafakali
 
Soma vizuri mada uielewe.
Kodi inaumiza kila mtu.
Nilioonyesha ni kodi/tozo zile zile nchi nyingine.
Soma uelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…