Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100

Naona Mzee wa Kuhamia Burundi amedhamiria tuhame kweli.

Tusubiri treni iliyopeleka Mashaki Kigoma
 
Ukiingia tu 100..maana kuna lile salio unatakiwa uwe nalo wakati unafanya miamala kwa sim banking..
Sasa ukiingia wanatoa 100 yao alaf nyingine inabak constant au...sielew elewi
 
Ukiingia tu 100..maana kuna lile salio unatakiwa uwe nalo wakati unafanya miamala kwa sim banking..
Sasa ukiingia wanatoa 100 yao alaf nyingine inabak constant au...sielew elewi
hapana.kwa tig ukiingia simbankng ilikua free vodwa wao ni lazm uwe na salio.kunazia sh 100 kwenda juu.sasa ht mim nimeona sms kuacess itakatwa bati
 
Back
Top Bottom