Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Mitandao mingine kama tigo , Airtel ,etc ilikuwa free of charge.
Mbona sisi tunaotumia Vodacom tulikuwa tunatozwa kitambo sana. Huwezi hata kuangalia salio kwa SIMBanking bila kuwa na salio kwenye simu yao
 
Toka kitambo kuangalia salio atm au simbanking wanakata
 
Vita ni vita muraaaa....

Wameweka tozo ya uzalendo.... tunaweka tozo ya kupata mobile banking
 
Yaani maana yake kila ukiingia menu ya benki tu, CCM na serikali yake wanakwangua 100

Wakati hayo yakifanyika, rais halipi kodi kwenye mshahara wake, Wabunge hawakatwi kodi kwenye mishahara yao na Majaji hawakatwi kodi kwenye mishahara yao.
 
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100

Naona Mzee wa Kuhamia Burundi ameamua.
Kodi zote hizi tunazolia nazo ziliandaliwa enzi za mwenda zake chini ya waziri mpango. Mwigulu kaja tu kuwasilisha bajeti ambayo tayari ilishaandalia na mpango
 
Back
Top Bottom