Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

Tukubali tusikubali Aliye mu uwa jiwe katumomesha na sisi vile vile
 
Kutunza mwanamke ni gharama sana, anataka nguo mpya kila siku, viatu, chupi, pedi , shadow, lipstick, lipbum, perfume, deodorant, mawigi, kusuka , hapo bado kula na kunywa na starehe nyingine. That woman will leave us bankrupt.

Sitarajii wanaume tutakuja kuchagua mwanamke tena
 
Mobile simbanking kwishney!!! M-pesa, tigo pesa et al kwishey!! Ni neema kwa mabenki! Yalikuwa yamepigwa bao sana!!! Foleni ndefu kwenye ATM zitarudi tena!
Mkuu, mie nipo TTCL na nimeshindwa kutuma pesa kupitia TPESA.
Kwenye 'menu' palikuwa na 'option' ya kutuma mitandao mingine lakini leo haipo. animejaribu kutuma hivohivo imenikatalia ikiniambia namba hiyo si ya mtandao wa TTCL.
 
Back
Top Bottom