Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Na kwenye sukari, unga wa sembe/dona, maji, mafuta ya kupikia, sabuni, dawa ya meno, soda, nyama na mkaa.Naikumbusha serikali nauli vipi mbona hampandishi? Na msisahau chumvi haijapanda bei miaka mingi sana
Tujivunie kulipa tozo ili viongozi wetu waachane na mavieite watembelee Rolls Royce na mama anunuliwe ndege mpya ya raisi hizi bombadia na dream liner atuachie abiria tunaojazana uwanja wa ndege kama Kabul.