Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

1629549109500.png
 
Mwanamke na uongozi ni vitu viwili tofauti hili liwe fundisho

Hakuna Sheikh, Papa, Askofu wala Padre mwanamke
 
Mwanamke na uongozi ni vitu viwili tofauti hili liwe fundisho

Hakuna Sheikh, Papa, Askofu wala Padre mwanamke

Prince Kunta hii comment yako ungetuelezea kwa uzuri zaidi tukuelewe

Sababu huyohuyo mwanamke ndio mwenye jukumu kubwa la kuangalia welfare ya familia kwa ukaribu, vitendo na miongozo na ndio anayewatengeneza wanaume kwa kiasi kikubwa zaidi, na kuwafanya kuwa bora kama unavyowaona
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
ukirudi nitag
 
Prince Kunta hii comment yako ungetuelezea kwa uzuri zaidi tukuelewe

Sababu huyohuyo mwanamke ndio mwenye jukumu kubwa la kuangalia welfare ya familia kwa ukaribu, vitendo na miongozo na ndio anayewatengeneza wanaume kwa kiasi kikubwa zaidi, na kuwafanya kuwa bora kama unavyowaona
Anachofanya mwanamke katika familia sio uongozi, baba ndo kiongozi na mama ni mtekelezaji tu ndo mana mwanaume ni kichwa cha familia
 
Back
Top Bottom