Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Hivi nachoro resosesi zote zilizopo Tanzania 🇹🇿 hazitusaidii
-Misitu
-Madini
-Ardhi (Virgin land)
-wota bodiizi (mito,maziwa na bahari)
-Wanyama pori
-Bandari
-Agrikacha (Samaki,ufugaji, cropu kativesheni)
-Human resources
-Tuarisimu
-Bizinesi
-etc

Kweli tumeviutilaizi vizuri hivi na vingine ambavyo nimesahau?
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
2 ni sahihi kabisa
 
Mama D nakupenda Sana ingawa tuna Mrego tofauti
Ni hivi mama kakuta hazina hakuna hela,
Iliyokuwa imebaki sukuma gang waliichota

Na serikali haitaki kupunguza matumizi ya hovyo, hivyo Basi suluhu ni kuwakamua akina Mama D

Lakini, pesa ziwepo hazina au zisiwepo kodi zitakuepo tuu

Hata Ali Hassan alipoingia alisema hakuna fedha akafungua mipaka

Mkapa akaingia akasema nchi haina uwekezaji wala makusanyo ya kodi wala mifumo akaweka vitu sawa

JK akaja akasema tunahitaji mahusiano na wawekezaji wa nje akapita

JPM akaja akasema nchi hii ni tajiri akazuia ufisadi na mifumo yake akalalamikiwa kwa kufanya miradi mikubwa kwa pesa ya ndani nae akapita

SSH anajua waliyokua wameyapanga, ni kama ameona kodi ni suluhu na kazi inaendelea
 
Hivyo vituo vya mafuta vinatumia muziki kwenye nini? kupump mafuta ya petrol au dizel? kabla hawajaanza kutekeleza hili wanapaswa kukaa na wadau kwanza hivyo viwango pendekezwa ni vikubwa Hsana..... wasanii ni haki yao kunufaika lakini tunapo anza tusisababishe tukauwa kabisa muziki...... lengo liwe kukuza muziki sio kuuwa watu na wadau..

Hivi mtu akisema bora asitumie kabisa muziki ili kukimbia hiyo tozo atafanywa nini? tuweke tozo za kuwavutia watu kusikiliza muziki sio kuwauwa kabisa na kuwakatisha tamaa.

Wadau wanapaswa kusikilizwa na kuhusishwa kwenye mapendekezo ya tozo.....
Hivi hao mabasi makubwa si wanaweza amua tuu wasicheze muziki? watafanywa nini?
Hivi hao walio weka viwango wana akili kweli?

Hapo kinachofata ni kupanda kwa gharama ili wananchi tulipie hiyo gharama ya muziki
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
1. Hapana , hakuna serikali inayowachukia raia wake.

2. Watanzania wengi hawakuzoea kulipa kodi, mtu akipata pesa yake amepiga kiaina hajali watanzania wengine ambao huitaji msaada katika elimu, hospitali, huduma za jamii na huduma zingine muhimu.

3. Hizi kodi kila nchi duniani ina mfumo wake wa kodi ulo imara ila kwa Afrika sidhani.

Kuhusiana na kulipa kiasi gani hio hutegemea na kipato cha mtu na aina ya kazi/ biashara afanyayo.

Ila kumbi za starehe au night clubs, waosha magari, mabaa au pubs, kodi ni sehemu za biashara ambazo ni lazima zilipe kodi.

Watanzania tufikirie kujifunga mikanda na tulipe kodi, tujipange.

Miezi mitano ilopita nilimkumbusha BAK kuhusu kuanza kulalamika kwa wananchi na leo hii jkauli yangu inajirudia , tusilalamike kwani hatukujua linalokuja baada ya lilotokea.
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Sababu moja waliopewa nafasi wamefika mwisho wao wa kufikiri
 
1. Hapana , hakuna serikali inayowachukia raia wake.

2. Watanzania wengi hawakuzoea kulipa kodi, mtu akipata pesa yake amepiga kiaina hajali watanzania wengine ambao huitaji msaada katika elimu, hospitali, huduma za jamii na huduma zingine muhimu.

3. Hizi kodi kila nchi duniani ina mfumo wake wa kodi ulo imara ila kwa Afrika sidhani.

Kuhusiana na kulipa kiasi gani hio hutegemea na kipato cha mtu na aina ya kazi/ biashara afanyayo.

Ila kumbi za starehe au night clubs, waosha magari, mabaa au pubs, kodi ni sehemu za biashara ambazo ni lazima zilipe kodi.

Watanzania tufukirie kujifunga mikanda na tulipe kodi, tujipange.

Miezi mitano ilopita nilimkumbusha BAK kuhusu kuanza kulalamika kwa wananchi na leo hii jkauli yangu inajirudia , tusilalamike kwani hatukujua linalokuja baada yaq lilotokea.
Nimekuelewa mkuu🙏
 
mh. mama Samiah kazi nzuri sana unajitahidi sana tena kaza uzi badooo, mmefanya ubunifu mzuri sana. ccm tamu sana ni kama maji hata kama hutaki utayanywa, utayaogea.

Nawakumbusha na ile kodi ya kichwa ya kila kiumbe, kila mtoto alipiwe 7,000 kwa mwezi, kila kijana atoe 10,000, kwa mwezi, kila mwanamke atoe 20,000 kwa mwezi

na kila mwanamume 20,000 kwa mwezi, kila mzee 25,000 kwa mwezi na kila mfugo au mnyama alipiwe 5,000 kwa mwezi. Nchi itafanya maendeleo sana.

Asiyetaka aende Burundi.
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Maswali mazuri, huenda akili imekurudia
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kabisaaa Kodi ya Kila kichwa iwe 150000,aaa aaa akili kwanza itukae sawa
 
Back
Top Bottom