Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Magufuli alikuwa akipata wapi pesa za kuendeleza miradi yake? kama ni kuibia watu tu, siamini kama zilitosha, mbona hii serikali ya Samia inahangaika sana? ina maana Tanzania kuna watu wenye pesa nyingi kiasi hicho kuwezesha kusogeza ujenzi wa miradi mikubwa kama SGR na Nyerere Dam?

Ajabu ya CCM ni pale hata baada ya kuchota hizo pesa kila upande bado watanzania hatutaiona tofauti yoyote kwenye maisha ya kawaida, uapatikanaji wa maji safi na salama utaendelea kuwa wimbo wa kila siku kama kawaida.
 
Safari hii hakuna rangi tutaacha kuona.

Anyway, tatizo sio tozo. Tunataka sasa tuone hizo tozo zinatumika vipi kuboresha huduma katika jamii. Huduma za afya (bima ya afya kwa watu wote), maji safi na salama, miundombinu yakueleweka.

Otherwise hatutawaelewa.
 
Hii nchi aliyekuwa analipa kodi haswa ni mtumishi kwa kutumia paye. Imagine unalipwa mshahara wa mil 3 paye pekee ni 720k kwa mwezi zidisha kwa mwaka. Sasa ni mfanyabiashara gani wa kati analipa kodi hiyo? Kodi zitozwe na zitumike ipasavyo, sio mambo mtu anafanya ubadhirifu wa bil 100 faini mil 8 huu unakuwa utani.
Kuna jambo haulielewi..

Hapo Kuongeza Tuzo (kumbuka kodi bado inalipwa) kwenye usafiri, maduka ya dawa, sehemu za starehe n.k. unadhani wewe sababu ni mfanyakazi na ulishalipa kodi kwahio havikuhusu ?

Kumbuka gharama itapanda na wewe mfanyakazi ambaye umeshakatwa kodi na kubakia na tu-pesa kidogo itabidi tupesa huto huto ndio tulipie gharama zaidi za dawa, usafiri n.k.
 
Bila shaka kuna viongozi hawatutakii mema, ni vema Rais akaliangalia upya hili suala vinginevyo kuna wenzake wanamzunguka. Tafadhali soma gazeti la Raia Mwema Tarehe 21.08.2021
Trust none but yourself
 
WaTanzania hawana shida na tozo tatizo ni hao wasimamizi wa hizoo tozo wakizifanyia ufisadi wanyongwe.
Ulifanya research wapi..., hizo tozo hazijaanza leo wala jana tatizo tozo ni ukubwa wa tozo kuliko vipato vya watanzania ambao wengi wao ni hand to mouth, pia ni utitiri wa tozo unaopelekea double taxation
 
Viwanja vya ndege nimeshindwa kujua ni ngapi
Yaani waandishii hawa!!
Halafu Vituo vya mafuta na Mabasi mbona hazupishani sana Ina maana vipato vinakaribiana?
 
Magufuli alikuwa akipata wapi pesa za kuendeleza miradi yake? kama ni kuibia watu tu, siamini kama zilitosha, mbona hii serikali ya Samia inahangaika sana? ina maana Tanzania kuna watu wenye pesa nyingi kiasi hicho kuwezesha kusogeza ujenzi wa miradi mikubwa kama SGR na Nyerere Dam?

Ajabu ya CCM ni pale hata baada ya kuchota hizo pesa kila upande bado watanzania hatutaiona tofauti yoyote kwenye maisha ya kawaida, uapatikanaji wa maji safi na salama utaendelea kuwa wimbo wa kila siku kama kawaida.
Maybe he let the money printer go insane,,,sababu Sielewi kbsa
 
Huyu bibi ushungi natamani nitoe bonge la tusi hasira ziishe
Nimeshindwa kununua umeme wa 2000
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Mbogamboga ndo mmetufikisha hapa...
 
Mama D
Kuna wakati huwa nakubali baadhi ya point zako.....
Katika hili la Tozo...wengi wetu hatuna lawama ilihali kama zitafika sehemu husika na kuona maendeleo kusidiwa kweli

Kadhalika
Tunapenda sana kuona Waovu wakiwajibishwa katika muda stahiki....lkn hili la uwajibishwaji,ni tatizo sana ktk Nchi yetu hii
 
Kinachofuata ni kuwa 2025 wananchi wote bila kujali vyama vyao au itikadi hawatakichagua chama-ruhani cha CCM kwa kuwa CCM hakina tena vinasaba / DNA ya sifa za kuwa chama cha kisiasa.
Mkuu, hata 2015 na 2020 wananchi hawakuchagua hawa ccm. Tatizo ni Tume ya uchaguzi
 
Kazi ipo, ipo siku mama ataamka kwenye usingizi wa pono atakuta waneshamtia kidole cha kati kwenye jicho
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
tuko tayari na katiba mpya tu. huu ushubwada mwingine ni kutudidimiza wananchi.
 
Hizi tozo makada na wanasisiemu haziwahusuuu,[emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom