Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
hakuna mtu anayekataa mabadiliko au kulipa kodi, shida inakuja hayo mabadiliko yanakuja kwa kasi gani na hizo kodi ni kwa kiasi gani na kwa wakati gani, yaan wakati huu ambao madhara ya kiuchumi ya korona yamesababisha nchi zingine dunian kuwapiga jeki wananchi wao kwa kuwapa fedha sisi tunaongezewa tozo na kodi mpya wakti huohuo serikali ikikiri kuwa uchumi umeathirika na corona
 
Watu wanalalamika hizo Kodi na tozo wa sababu ya matumizi mabaya ya serikali sio wanakataa, ambapo kwa bajeti ya mwaka huu ni 33t ambapo matumizi ya kawaida ni 20t na matumizi ya maendeleo ni 13t hiyo ni sawa na kusema 80% ya mapato ya serikali yanaenda kwenye matumizi ya kawaida na 20% ndio matumizi ya maendeleo.kwa maana hiyo hatuwezi kupata maendeleo kama hakuna udhibiti na nidhamu ya matumizi ya mapato ya serikali hata kama tutatoza Kodi na tozo mapaka kila kichwa cha nchi hii. Tanzania kwa miaka yote hii ya uhuru kwa rasilimali tulizonazo nia aibu kwa karne hii kuendelea kuzungumzia maendeleo kwenye elimu,maji,barabara na afya Sasa hivi ilitakiwa tuwe tunazungumzia sayansi na tekinaolojia

Waoga na pia hatuna umoja katika kudai haki zetu.
 
Hivi kwanini wasirudishe kodi ya kichwa ili hata yule asiyemiliki simu au kutumia umeme nae alipe tu? Mnaweza kuiita “kodi ya pumzi” ili kuonyesha ubunifu

Vijijini wengi hawana magari. Mnaweza anzisha kodi ya kumiliki baiskeli. Likewise, anzisheni kodi ya kumiliki shamba kwa kila hectare

Kodi ya jengo ongezeni pia. Mwenye nyumba ambayo ina fence alipe zaidi. Kama ana sofa, aongezewe kodi

Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ione hii tafadhari. Hizo zote sio kodi za dhulma maana Mama hapendi
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Sisi tunalipa Kodi kidogo Sana SEMA tumezoea kupata %100 ya pato

USSR
 
hakuna mtu anayekataa mabadiliko au kulipa kodi, shida inakuja hayo mabadiliko yanakuja kwa kasi gani na hizo kodi ni kwa kiasi gani na kwa wakati gani, yaan wakati huu ambao madhara ya kiuchumi ya korona yamesababisha nchi zingine dunian kuwapiga jeki wananchi wao kwa kuwapa fedha sisi tunaongezewa tozo na kodi mpya wakti huohuo serikali ikikiri kuwa uchumi umeathirika na corona
Watu wanalalamika hizo Kodi na tozo wa sababu ya matumizi mabaya ya serikali sio wanakataa, ambapo kwa bajeti ya mwaka huu ni 33t ambapo matumizi ya kawaida ni 20t na matumizi ya maendeleo ni 13t hiyo ni sawa na kusema 80% ya mapato ya serikali yanaenda kwenye matumizi ya kawaida na 20% ndio matumizi ya maendeleo.kwa maana hiyo hatuwezi kupata maendeleo kama hakuna udhibiti na nidhamu ya matumizi ya mapato ya serikali hata kama tutatoza Kodi na tozo mapaka kila kichwa cha nchi hii. Tanzania kwa miaka yote hii ya uhuru kwa rasilimali tulizonazo nia aibu kwa karne hii kuendelea kuzungumzia maendeleo kwenye elimu,maji,barabara na afya Sasa hivi ilitakiwa tuwe tunazungumzia sayansi na tekinaolojia

Tozo sio tatizo ila wanaokatwa tozo wanataka uwazi na kuwa wanufaika wa tozo hizo
Hapa ndio serikali ya CCM inatakiwa kujikita kuhakikisha mwananchi wa kawaida anayona maendeleo yake kutokana na haya makato, vinginevyo baada ya miaka4 hizihizi tozo zitakua kitanzi kwao
 
Hivi kwanini wasirudishe kodi ya kichwa ili hata yule asiyemiliki simu au kutumia umeme nae alipe tu? Mnaweza kuiita “kodi ya pumzi” ili kuonyesha ubunifu

Vijijini wengi hawana magari. Mnaweza anzisha kodi ya kumiliki baiskeli. Likewise, anzisheni kodi ya kumiliki shamba kwa kila hectare

Kodi ya jengo ongezeni pia. Mwenye nyumba ambayo ina fence alipe zaidi. Kama ana sofa, aongezewe kodi

Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ione hii tafadhari. Hizo zote sio kodi za dhulma maana Mama hapendi
Nimeipenda hiyo kodi ya pumzi.Halafu kwa CCM unaweza ukawa umewapa pahala pa kupanua wigo wa walipa kodi.Hawa wenzetu wamechoka,hawana jipya!
Tunazo raslimali za kuitosha nchi yetu na watu wake na kusaza.Issue ni hakuna ubunifu wa kiuongozi chini ya sheria Mama ya Wananchi. Katiba iliyopo na Iliyopendekezwa zote ni copy & paste in newly painted old constitution.
Tunahitaji kuandika Katiba ya Wananchi kuanzia alikoishia Warioba.Vinginevyo CCM wanaenda kuandika Katiba ya CCM na kuiita ya Watanzania.Tujifunze kwenye Bunge lililopita la Mabadiliko ya Katiba.
Ndani ya Bunge la Katiba walioitwa waheshimiwa wakaendelekeza mipasho na mwishoni wakacheza sebene/ndombolo na hadi leo hatuna Katiba.Hakuna anayejadili upotevu wa fedha zilizotumika kwenye huo mchakato.
Watanzania tuamke!!!
 
Nitarudi ngoja nihudumie wagonjwa kwanza

Nimerudi sasa saa 2 asubuhi USSR

Nadhani wakati tunapata haya maumivu kwa hizi kodi ni vizuri tujiulize maumivu yetu yanasababishwa na nini haswa!?
1 Kwa sababu tunaonewa na kuchukiwa sana na serikali yetu?
2 Ni sababu hatuko tayari kwa mabadiliko kwa kile tulichozoea?
3 Au sisi ndio nchi ya pekee duniani kulipa hizi kodi? Na kama kwingine zipo wanalipa kiasi gani?

Cc BAK Deceiver SN.BARRY
Mama D unakumbuka mabilion yalichotwa Bot alipofariki yule, nduli

Report ,a cag kila mwaka zinaonyesha ubadhitifu unaofikia 30% ya bajeti

Unajua kuwa fedha nyingi zimelekezwa kwenye vipaumbele ambavyo havina impact katika kuongeza uchumi kama mdege sgr,

Unajua kuwa miaka mitano ya nduli sera zake za uchumi zilidumaza na kuua biashara hivyo kupunguza makusanyo ya kodi
Mama D Ngoja niishie hapo
 
Viweke hivyo vipaumbele kwanza acha kelele

USSR
 
"Upinzani umetuchelewa sana."

Sasa ndio mtajua faida ya uponzani dhidi ya wagonga meza.

Maumivu zaidi ni kwa walisaidia wizi wa kura 2020, Hadi maji utaita mma
Ndo umuhimu wa bajeti mbadala ya waziri kivuli wa fedha, mwaka huu wako wenyewe bungeni
 
Mama D unakumbuka mabilion yalichotwa Bot alipofariki yule, nduli

Report ,a cag kila mwaka zinaonyesha ubadhitifu unaofikia 30% ya bajeti

Unajua kuwa fedha nyingi zimelekezwa kwenye vipaumbele ambavyo havina impact katika kuongeza uchumi kama mdege sgr,

Unajua kuwa miaka mitano ya nduli sera zake za uchumi zilidumaza na kuua biashara hivyo kupunguza makusanyo ya kodi
Mama D Ngoja niishie hapo

Kwa maana hiyo tozo sio tatizo ila tatizo ni uwazi na matokeo kwa wananchi. Si ndio!?

Sasa kwanini hatujadili tunachotakiwa kukijadili na chenye faida?

Pamoja na kutumia lugha isiyo na staha kama kumwita hayati nduli nimekujibu tuu
 
Mama D nakupenda Sana ingawa tuna Mrego tofauti
Ni hivi mama kakuta hazina hakuna hela,
Iliyokuwa imebaki sukuma gang waliichota

Na serikali haitaki kupunguza matumizi ya hovyo, hivyo Basi suluhu ni kuwakamua akina Mama D
 
Back
Top Bottom