Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Vita mmeipigana na talaka mmepeana 😅😅😅Asante,msalim!
Mimi sipo tena na wifi yako tena"Vita tuliipigana, mwendo tumeumaliza ila imani hatukuilinda "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita mmeipigana na talaka mmepeana 😅😅😅Asante,msalim!
Mimi sipo tena na wifi yako tena"Vita tuliipigana, mwendo tumeumaliza ila imani hatukuilinda "
Sababu hatuna control na hizo tozo zinazokusanywa yani.
Bora mfuko huo ungekuwa wa wananchi wenyewe kama wanavyoita za kizalendo ili hata zikianza kutolewa hizo hela tuwe na wananchi wanajua kinatoka kiasi flani kwenda kufanya jambo flani! Hapo manung’uniko yangu yatakoma ila sio hela tuwakusanyie mafisadi wa CCM wao wadokoe wanavyojiskia!
😂😂😂😂😂😂kweli imani mmeshindwa kuilinda hahahaAsante,msalim!
Mimi sipo tena na wifi yako tena"Vita tuliipigana, mwendo tumeumaliza ila imani hatukuilinda "
Eeh waah hapo unakuwa sahihi kabisa. Tunataka transparency sio yale mambo ya IPTL kutumia sheria na kanuni sahihi kuratibu wizi 😅😅😅 hilo hatulitaki!Kwa maana ingine tozo hazina taabu ila ni muhimu wananchi tujue matumizi yake na tuweze kuona faida zake kwetu
Niko sawa Extrovert?
Yani mkuu mwendo tumeumalizia na talakaVita mmeipigana na talaka mmepeana 😅😅😅
Hahahah tatizo ni imani tuYani mkuu mwendo tumeumalizia na talaka
Hapo kwenye vituo vya mazoezi wale wenye sera gemu zao nyumbani watapataje hela yao
Ilibaki "imani "tu, maana vita nzuri tumeipigana ila kwenye mwendo sasa ulipokua unaendelea imani ikatoweka.Hahahah tatizo ni imani tu
Lakini bado huyo mtumishi anaendelea kulipa hiyo PAYE na tozo kama zote....kwa nini basi Serikali isimpunguzie paye?Hii nchi aliyekuwa analipa kodi haswa ni mtumishi kwa kutumia paye. Imagine unalipwa mshahara wa mil 3 paye pekee ni 720k kwa mwezi zidisha kwa mwaka. Sasa ni mfanyabiashara gani wa kati analipa kodi hiyo? Kodi zitozwe na zitumike ipasavyo, sio mambo mtu anafanya ubadhirifu wa bil 100 faini mil 8 huu unakuwa utani.
Halafu kwa sasa kila kitu kimepanda bei sanaMim nadhani uchumi ungekua unaeleweka,Watu wasingelalamika,,asa maisha magumu alafu unaongeza mikodi,inflation is high as a kite,,aliyefikiria haya ana mavi matupu kichwani [emoji1787][emoji1787]...
Hahahahahah mkuu umenichekesha sanIlibaki "imani "tu, maana vita nzuri tumeipigana ila kwenye mwendo sasa ulipokua unaendelea imani ikatoweka.
"we were soldiers "
Yes,na kuna mtu nilimwambia hapa ,hata ukiongezewa mishahara 500,000/= ,mfumuko wa bei una-cancel out hio payrise,,ila sisi wabongo hatuna elimu hiyo badoHalafu kwa sasa kila kitu kimepanda bei sana
Eeh waah hapo unakuwa sahihi kabisa. Tunataka transparency sio yale mambo ya IPTL kutumia sheria na kanuni sahihi kuratibu wizi 😅😅😅 hilo hatulitaki!
Maana obvious hizo hela zitaibiwa tu na ni nyingi sana in trillions kwa mwaka! Yani wakizimix za miamala,mafuta,za nyumba na za line ya simu ni hela ndefu mno na inaonekana haitapitishwa kwa CAG!
Lakini bado huyo mtumishi anaendelea kulipa hiyo PAYE na tozo kama zote....kwa nini basi Serikali isimpunguzie paye?
Mtumishi ananyonywa sana na serikali...
Bila shaka kuna viongozi hawatutakii mema, ni vema Rais akaliangalia upya hili suala vinginevyo kuna wenzake wanamzunguka. Tafadhali soma gazeti la Raia Mwema Tarehe 21.08.2021
View attachment 1900919