Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

Naikumbusha serikali nauli vipi mbona hampandishi? Na msisahau chumvi haijapanda bei miaka mingi sana
Na kwenye sukari, unga wa sembe/dona, maji, mafuta ya kupikia, sabuni, dawa ya meno, soda, nyama na mkaa.
Tujivunie kulipa tozo ili viongozi wetu waachane na mavieite watembelee Rolls Royce na mama anunuliwe ndege mpya ya raisi hizi bombadia na dream liner atuachie abiria tunaojazana uwanja wa ndege kama Kabul.
 
Nadhani hizi Tozo ni kilio kwasababu moja tuu nayo ni kuwa haziendani na vipato halisi vya watanzania.
Maisha magumu ukiongeza na haya makato tutakufa njaa huku
 
Waliokuwa hawalipi kodi wala tozo,na kutumia huduma za jamii,barabara,mashule,madaraja,huduma za aya,nk.Ndio wanaolalamika.Waliokuwawakilipa kodi,tozo toka zamani,hawalalamiki.
 
Nadhani hizi Tozo ni kilio kwasababu moja tuu nayo ni kuwa haziendani na vipato halisi vya watanzania.
Maisha magumu ukiongeza na haya makato tutakufa njaa huku

Ndio zimeanza sasa tusubiri maslahi
 
Kuhusu swali lako la tatu: Mimi ninaishi Marekani na mara kadhaa nimekuwa napokea miamala kupitia Venmo, Cashapp, na miundombinu mingine ya aina hiyo. Sijawahi kulipia kodi au gharama yoyote kwa miamala hiyo iwapo nitasubiri siku tatu kabla ya kuzichukua. Ukitaka kuzichukua papo kwa papo, basi kampuni inakuchaji kiasi fulani, siyo asilimia bali kuna fee fixed ya kuchukua pesa mara moja; chaji hiyo siyo kodi ya serikali.
 
Kuna ambao wako exempted! Huwezi kuumia kama daily unaingiza 300k ukiwa umekaa tu
Hao wenyewe huwa hawaimbi, hao huwa wanapigiwa tu makofi. Waimbaji ndio tunakutana nao huku, manufaa pekee wanayoyapata kwa kuwa Wana CCM ni kula wali maharagwe kipindi cha kampeni
 
Usilazimishe tufanane.... endelea kuisomaa
Mi10 tena kwa SSH 📍🔨
Tatizo lenu CCM hamna akili. Unadhani kwa hizo posho unazodanganywa nazo utaweza kuwanusuru nduguzo wanaokuzunguka wasiisome namba?
 
Uchafu wa fikra zako ndio unakufanya uwaze ushetwani tuu kila wakati.
Huna jema moyoni mwako wewe
Nyie CCM mna wema gani?
Kubambikia watu kesi

Kuua kama mlivyo muua Horace Kolimba, Kigoma Ali Malima, Mzee Manga (huyu mlimuua huku watu wakishuhudia kwenye kadamnasi), Seith Chachage etc

Uchawi na ushirikina na upumbavu. Mnatumia mabilioni ya pesa kwa ajili ya Mwenge. Mwenge ni kafara la kufanya Taifa kuwa fukara zaidi

Mbumbumbu nyie
 
Wamekula kichwa siku 30 huko
 
Ccm Hawana akili za ku yutilaize hizi nachuro risosi na kupanua taksi bezi
Kuna kodi kubwa Sana kwenyee eksipoteisheni ya mazao, Nasikia mipaka wameifunga
 
Tuna gesi uranium, colbalt, nickel, alafu bado ni masikini
Ongezea utalii,dhahabu,almasi,ardhi yenye rutuba,mito,bahari,maziwa,mabwawa usisahau makaa ya mawe.

Location ya nchi yetu ipo kimkakati sana. Natamani nije kuwa rais wa hii nchi hata kwa mwaka mmoja tu.
 
Ingekuwa Chadema ile ya Dr Slaa lakini hii ya gaidi hakuna kitu
 
Wekeni tozo kwenye papai na nanasi sikuizi watu tunakula matunda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…