Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.
[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.
Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.
Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?