Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Watazifuta tu hizi tozo kabla ya 2025! Hawa viumbe ni wepesi sana wa kutengeneza matatizo, na baadae kuja kuyatatua wao wenyewe kwa lengo la kujiongezea umaarufu wa kisiasa.
Tena watakuja kutuambia kuwa ohh sasa tumeamua kuwasikiliza wanyonge, tumeondoa kabisa tozo za kutuma miamala ya Pesa.

Acha kabisa
 
Hujui kitu mkuu, ni kweli ndivyo itakavyokuwa ila kumbuka hapo Utahama kutoka kwenye simu kwenda bank ambako nako sio bure utatozwa pesa ya kutolea, afu huwa haitoki yote.

Ni hivi makato yako pale pale, sio kila sehemu kuna benki.
 
Tumeipenda wenyewe…ndindi…. chaguo letu wenyewe.. 💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
Sisi CHADEMA tushazoea kusomeshwa namba, shida ipo kwenu huko watoto wa TEUZI.

Mafuta ya Kula yenyewe ni anasa SASA hapo tutashangaa nini? . Kazi inaendelea 🙄🙄🙄
 
Safi ! Tozo iongewze hata iwe laki 1.

Tuliposimama kupinga uchafuzi wa 2020 wangapi walituunga mkono! Zaidi ya kutuita wasaliti, vibaraka wa mabeberu na wapinga maendeleo?

Ni mtu mjinga ndio ataamini ule ulikua uchaguzi na CCM eti ishinde ubunge kwa 98%???

Insane!
 
Back
Top Bottom