Hawa wapuuzi wanaojipangia kodi tu kiholela holela inatakiwa na wao waanze kulipwa laki 5 au laki 6 ili wakati wanatunga sheria zao za kindezi kama hizi waone athari zake!
Sehemu pekee ya kuimpose kodi ni kwenye vitu ambavyo ni optional sio vitu vya lazima kwa kila mtu kutumia kama miamala!
Wekeni hizo sh.100 kwenye viwanja vya mipira watu wanajazana karibia elfu 60 kila mechi ikichezwa they can get alot of money from such activities!
Waweke tozo hizo kwenye vitu kama highspeed roads ambako sio lazima mtu kutumia! Wajenge autobahn waweke tozo waone kama watu hawatalipa😅
Kodi zinatakiwa ziwe fun to pay ujiskie raha tokana na convenience unayopata sio unatozwa kodi kwenye kitu ambacho hakiburudishi zaidi unaumia tu. Sijui hawa watu wanafikiria kutumia matako!
Wasajili malaya wawape maeneo maalum waanze kulipia kodi watu watalipia tu wala hawatanung’unika. Ile ni starehe mtu hawezi umia!
Waweke kodi kwenye vinywaji kama bia! Watu watazinywa tu bila kujali kodi ni sh.100!
Shida ya wenye mamlaka hawataki ku diversify kodi hizi wanataka zote warundike sehemu moja! Simu itozwe kodi kwenye vocha,internet, voice na sms, line itozwe kodi, bado serikali wabandike kodi juu tena!?
Mafuta yakiingizwa yalipe kodi, leseni ya sheli inatakiwa ilipe kodi, mjazaji mafuta alipe kodi ya reli na sasa ya uzalendo 😅😅😅