Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Piga chenja ,,, Hayo yote ipo siku ee,, yatakwisha ee, Yata Kwisha eee siera eee ,,, ,,, Itatuchukua zaidi ya miaka 40 toka sasa ili kupata katiba mpya yaani hadi kizazu cha miaka ya 80 kurudi nyuma kitoweke chote ,, Mwigulu ongeza glass
 
JPM alikua anatoa wapi hela za kulipia miradi hii? Tena kwa muda bila kuwachelewesha kandarasi! Jana wa machinjio ya Vingunguti mpya TBA sijui ilikua wafungue 1.7.2021 kwa amri ya waziri mkuu ila wamesema walikwama wakidai hawajalipwa almost 3b plus ya kumalizia kufunga AC na bwawa la kutunzia mbolea ndio maana wakasimama.

Zamani hela zilikua zinatoka wapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hata kipindi cha huyo magufuli kuna wizara kadhaa zilipata nusu ya hela ya bajeti kutokana na pesa nyingi kuelekezwa kwenye miradi mikubwa, tena miradi mingine haikuwepo hata kwenye bajeti(Ununuzi wa ndege). Pia naomba nikuulize kwanini kipindi cha magufuli deni la taifa limeongezeka sana tofauti na marais wengine waliopita?.
 
JPM alikua anatoa wapi hela za kulipia miradi hii? Tena kwa muda bila kuwachelewesha kandarasi! Jana wa machinjio ya Vingunguti mpya TBA sijui ilikua wafungue 1.7.2021 kwa amri ya waziri mkuu ila wamesema walikwama wakidai hawajalipwa almost 3b plus ya kumalizia kufunga AC na bwawa la kutunzia mbolea ndio maana wakasimama.

Zamani hela zilikua zinatoka wapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Deni la taifa limeongezeka kwa kiasi kikubwa kipindi cha magufuli
 
Tatizo haziimarishi chochote,labda kuimarisha mifuko ya wachache hazina: wanaiba sana
Hazina wanaibaje ? Kwamba hazipelekwi kwenye taasisi husika au unataka kusemaje Mzee? Huko kwenu barabara,zahanati,maji nk havifanyiki?
 
Safi sana hii ndio inafaa ili heshima ya pesa irudi mtaani, milioni inatakiwa mtu aipandie basi ikiwezekana avuke mkoa sio eti "tuma na ya kutolea"
This time around watu watatoka Songea kuja daslam kuifwata 1m
 
Hawa wapuuzi wanaojipangia kodi tu kiholela holela inatakiwa na wao waanze kulipwa laki 5 au laki 6 ili wakati wanatunga sheria zao za kindezi kama hizi waone athari zake!

Sehemu pekee ya kuimpose kodi ni kwenye vitu ambavyo ni optional sio vitu vya lazima kwa kila mtu kutumia kama miamala!

Wekeni hizo sh.100 kwenye viwanja vya mipira watu wanajazana karibia elfu 60 kila mechi ikichezwa they can get alot of money from such activities!

Waweke tozo hizo kwenye vitu kama highspeed roads ambako sio lazima mtu kutumia! Wajenge autobahn waweke tozo waone kama watu hawatalipa😅

Kodi zinatakiwa ziwe fun to pay ujiskie raha tokana na convenience unayopata sio unatozwa kodi kwenye kitu ambacho hakiburudishi zaidi unaumia tu. Sijui hawa watu wanafikiria kutumia matako!

Wasajili malaya wawape maeneo maalum waanze kulipia kodi watu watalipia tu wala hawatanung’unika. Ile ni starehe mtu hawezi umia!

Waweke kodi kwenye vinywaji kama bia! Watu watazinywa tu bila kujali kodi ni sh.100!

Shida ya wenye mamlaka hawataki ku diversify kodi hizi wanataka zote warundike sehemu moja! Simu itozwe kodi kwenye vocha,internet, voice na sms, line itozwe kodi, bado serikali wabandike kodi juu tena!?

Mafuta yakiingizwa yalipe kodi, leseni ya sheli inatakiwa ilipe kodi, mjazaji mafuta alipe kodi ya reli na sasa ya uzalendo 😅😅😅
nimependa hoja yako ya malaya kuhalalishwa walipe kodi. kila nikihoji ubaya wa huduma hii hakuna anayeleta hoja za msingi zaid ya kurejea vitabu vya riwaya za waarab na wayahudi.
 
Hizi tozo serikali iingilie kati ni kali sn
 
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.

[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.

Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.

Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?

View attachment 1846646
Baada ya vifurushi wameamua kuja kutest mitambo na huku
 
This time around watu watatoka Songea kuja daslam kuifwata 1m
Hii itasaidia sana kupunguza upotevu wa pesa unaosababishwa na zile message za tuma na ya kutolea...tena raia ziendelee kulalamika kwa sana tunapata pakutokea.

Wale wa nitumie nauli ndio nitakuja, kwisha habari yao🤣
 
Hii itasaidia sana kupunguza upotevu wa pesa unaosababishwa na zile message za tuma na ya kutolea...tena raia ziendelee kulalamika kwa sana tunapata pakutokea.

Wale wa nitumie nauli ndio nitakuja, kwisha habari yao[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Hao mademu kwisha habari yao..ni mwendo wa "ifwate gheto,makato ya kutuma ni makubwa sana"..baada ya hapo ni utatoa hutoi..
 
nimependa hoja yako ya malaya kuhalalishwa walipe kodi. kila nikihoji ubaya wa huduma hii hakuna anayeleta hoja za msingi zaid ya kurejea vitabu vya riwaya za waarab na wayahudi.
Yah mkuu inaboa sana yani!
 
Serikali ya Wanyonge.

Back
Top Bottom