Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Mwigulu haja wahi kuwa na mawazo positive. Lakini ni bora turudi bank ili aone anguko lake
 
Kodi ya uzalendo in Zungu voice.

Wacha wengi waumie ndio wataamka kudai haki. Bado wajinga ni wengi
 
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.

[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.

Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.

Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?

View attachment 1846646
Si bora upande gari kwenda Moro ukalipe ada ya mtoto na change inabaki unalipa umeme
 
Hawa wapuuzi wanaojipangia kodi tu kiholela holela inatakiwa na wao waanze kulipwa laki 5 au laki 6 ili wakati wanatunga sheria zao za kindezi kama hizi waone athari zake!

Sehemu pekee ya kuimpose kodi ni kwenye vitu ambavyo ni optional sio vitu vya lazima kwa kila mtu kutumia kama miamala!

Wekeni hizo sh.100 kwenye viwanja vya mipira watu wanajazana karibia elfu 60 kila mechi ikichezwa they can get alot of money from such activities!

Waweke tozo hizo kwenye vitu kama highspeed roads ambako sio lazima mtu kutumia! Wajenge autobahn waweke tozo waone kama watu hawatalipa[emoji28]

Kodi zinatakiwa ziwe fun to pay ujiskie raha tokana na convenience unayopata sio unatozwa kodi kwenye kitu ambacho hakiburudishi zaidi unaumia tu. Sijui hawa watu wanafikiria kutumia matako!

Wasajili malaya wawape maeneo maalum waanze kulipia kodi watu watalipia tu wala hawatanung’unika. Ile ni starehe mtu hawezi umia!

Waweke kodi kwenye vinywaji kama bia! Watu watazinywa tu bila kujali kodi ni sh.100!

Shida ya wenye mamlaka hawataki ku diversify kodi hizi wanataka zote warundike sehemu moja! Simu itozwe kodi kwenye vocha,internet, voice na sms, line itozwe kodi, bado serikali wabandike kodi juu tena!?

Mafuta yakiingizwa yalipe kodi, leseni ya sheli inatakiwa ilipe kodi, mjazaji mafuta alipe kodi ya reli na sasa ya uzalendo [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kuwa Watanzania wengi ni wajinga na wanafiki, wacha kodi ziongezeke tu. Waweke na kodi ya kuishi mjini, iwe sh 50,000 kwa mwezi. Kuna mtu atakuwa na uwezo wa kupinga?

Udikteta hata siku moja haujawahi kuleta unafuu kwa mwananchi mahali popote Duniani. Hawa wabunge bandia walioteuliwa na marehemu 2020, kamwe hawawezi kumtetea mwananchi yeyote wala kuikosoa serikali. Serikali ndiyo iliyowapa ubunge kwa njia haramu na chafu, watapata wapi nguvu na uhalali wa kuihoji serikali kuhusiana na kodi mbaya?

Mbunge ambaye alifanya kununuliwa kama tenga la nyanya kutoka chama cha upinzani kwenda CCM, akashindwa kwenye kura za maoni, marehemu akampitisha, wananchi walikuwa hawamtaki, mkurugenzi kwa amri ya marehemu, akamtangaza mbunge, anawiwa na nini hata amtetee mwananchi ambaye hakumchagua?

Waliopo bungeni awamu hii, siyo wawakilishi wa wananchi bali ni mamluki wa serikali waliopo kwaajili ya kuwapumbaza wananchi wajinga wafikirie kuna wawakilishi wao bungeni.
 
Wala sikomolewi , shughuli zangu zinahitaji uimara wa barabara sasa mkuu bila hivyo nitazidi kupata hasara.

Kukatwa hicho kiasi kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ni sawa kwangu
Kwenye hiyo barabara utakuwa unatembea kwa miguu? Kwenye mafuta nako hakushikiki. Kodi pekee yake ni sh 1,113.
 
JPM alikua anatoa wapi hela za kulipia miradi hii? Tena kwa muda bila kuwachelewesha kandarasi! Jana wa machinjio ya Vingunguti mpya TBA sijui ilikua wafungue 1.7.2021 kwa amri ya waziri mkuu ila wamesema walikwama wakidai hawajalipwa almost 3b plus ya kumalizia kufunga AC na bwawa la kutunzia mbolea ndio maana wakasimama.

Zamani hela zilikua zinatoka wapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anapora fedha kwenye account za watu, na kukopa sana. Si ulimsikia Mwigulu kuwa deni limekuwa kubwa sana, na karibia tutafikia ukomo wa kukopa? Hivyo hakuna namna nyingine zaidi ya kuchangishana.
 
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.

[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.

Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.

Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?

View attachment 1846646
Hii kodi ni kichefuchefu, ikifuatiwa na ya mafuta , Mafuta ile kodi ya sh mia inaenda leta shida kubwa Sana, Kama ndo wasomi wa uchumi,japo mie sio mchumi basi elimu ya wachumi wetu zichunguzwe,
 
Shida ije tuu uchumi uta offset baada ya mda kwa vile pesa inarejea kuzunguka mtaani kwa hiyo hakuna shida.
 
Wanaokatwa hiyvyo ni wachadema au wote tunaisoma namba
 
Kwa kuwa Watanzania wengi ni wajinga na wanafiki, wacha kodi ziongezeke tu. Waweke na kodi ya kuishi mjini, iwe sh 50,000 kwa mwezi. Kuna mtu atakuwa na uwezo wa kupinga?

Udikteta hata siku moja haujawahi kuleta unafuu kwa mwananchi mahali popote Duniani. Hawa wabunge bandia walioteuliwa na marehemu 2020, kamwe hawawezi kumtetea mwananchi yeyote wala kuikosoa serikali. Serikali ndiyo iliyowapa ubunge kwa njia haramu na chafu, watapata wapi nguvu na uhalali wa kuihoji serikali kuhusiana na kodi mbaya?

Mbunge ambaye alifanya kununuliwa kama tenga la nyanya kutoka chama cha upinzani kwenda CCM, akashindwa kwenye kura za maoni, marehemu akampitisha, wananchi walikuwa hawamtaki, mkurugenzi kwa amri ya marehemu, akamtangaza mbunge, anawiwa na nini hata amtetee mwananchi ambaye hakumchagua?

Waliopo bungeni awamu hii, siyo wawakilishi wa wananchi bali ni mamluki wa serikali waliopo kwaajili ya kuwapumbaza wananchi wajinga wafikirie kuna wawakilishi wao bungeni.
Udikteta gani? Unaujua kweli wewe au una hamu?
 
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge Iddi zungu Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali]
Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki.

[Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu Tshs 1,000,000 huko kule Simiyu. MADELU na genge lake wameshindwa kuwaza chanzo cha fedha, hasa kwa watu wasiolipa kodi walipe wao wanakimbilia kwenye miamala ambayo tayari inalipa kodi kubwa tu.

Nitakachokifanya ni kutumia pesa fasta. ya NMB (mfano) ambayo nitakatwa pesa isiyozidi 10k na yeye atatoa moja kwa moja kwa ATM iliyo karibu nae. Na hatokatwa hata senti. Na sio lazima awe na account benki hiyo.

Hilo soko la mobile money hujaliua hapo?

View attachment 1846646
Chama Cha Mazezeta
 
Back
Top Bottom