Tozo sasa miamala ya bank, sisi tuliokimbila bank tuhamie kwenye vyungu. Hatari sana wametufuata

Kuna watu mimba zao zingeharibika zilivyoanza kutungwa ingekuwa Bora ! Any way nisiingilie kazi ya Mungu... Huenda washenzi nao waliumbwa kwa ajili ya siku za ushenzi !!
 
Serikali ya CCM haijali kuhusu hilo kwasababu wanajua wanaongoza ng’ombe.

Inabidi ng’ombe atandikwe bakora nyingi za utosi ndiyo agundue kuwa ana uwezo wa kurusha mateke.
Hapo umesema ... nawausia ndugu zangu siku ya sensa msikose kuhesabiwa ni muhimu sana ilj nchi iweze kujiendesha takwimu ni muhimu sana
 
Kuna watu mimba zao zingehatibiwa zilivyoanza kutungwa ingekuwa Bora ! Any way nisiingilie kazi ya Mungu... Huenda washenzi nao waliumbwa kwa ajili ya siku za ushenzi !!
Unadaiwa banki and do ulitegemea ongezeko kubwa la salary ulipie madeni 😂😂😂😂
 
Utakimbiaje maana hata bitcoin kuwithdraw lazima utapita mule mule tu kwa miamala ya simu au bank.
Mwigulu fikra zake zimeishia mwenye tozo tu
 
Kha! mbona za kwangu zinafika hata 50,000? Transactions nyingi kijana, unadhani sisi wengine huwa tunatoa fedha mara moja tu kwa mwezi?
Sasa kama wewe ni Mfanyabiashara sawa ila mtumishi kama unafanya transactions nyingi Basi una kipato kikubwa hivyo unatakiwa kuchangia serikalini.
 
Sasa hivi miamala yangu kutoka nje yote natumia crypto,tunakuja kushikana kweny MPESA tu 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…