Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Kwani unateseka?Tunaviongozi wa ajabu ajabu sijui
Hawana ubunifu.
Kazi kutuvalia mikoti
Wacha wakate uchumi wa nchi uwe imara ccm safi...!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unateseka?Tunaviongozi wa ajabu ajabu sijui
Hawana ubunifu.
Kazi kutuvalia mikoti
Kuna watu mimba zao zingeharibika zilivyoanza kutungwa ingekuwa Bora ! Any way nisiingilie kazi ya Mungu... Huenda washenzi nao waliumbwa kwa ajili ya siku za ushenzi !!Watu wameongezewa 12,000-50,000 kwa mwezi wanalalamika kwamba haitoshi na haina maana..
Wakati huo huo serikali imeweka tozo za kuanzia 1200-3,000 kwa miamala kulingana na kiwango cha kutoa wanadai ni kubwa Sana..
Kwa mazingira haya ni ngumu Sana kumuelewa Mtanzania ndio maana naunga mkono serikali.
Hapo umesema ... nawausia ndugu zangu siku ya sensa msikose kuhesabiwa ni muhimu sana ilj nchi iweze kujiendesha takwimu ni muhimu sanaSerikali ya CCM haijali kuhusu hilo kwasababu wanajua wanaongoza ng’ombe.
Inabidi ng’ombe atandikwe bakora nyingi za utosi ndiyo agundue kuwa ana uwezo wa kurusha mateke.
Unadaiwa banki and do ulitegemea ongezeko kubwa la salary ulipie madeni 😂😂😂😂Kuna watu mimba zao zingehatibiwa zilivyoanza kutungwa ingekuwa Bora ! Any way nisiingilie kazi ya Mungu... Huenda washenzi nao waliumbwa kwa ajili ya siku za ushenzi !!
Kama Nchi gani hiyo?Ingekuwa nchi zingine wananchi wake wanaojitambua kusingekalika
Utakimbiaje maana hata bitcoin kuwithdraw lazima utapita mule mule tu kwa miamala ya simu au bank.Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
Wananchi gani,wewe au? Kama ni wewe endelea kuumiaWw mke wa Mwigulu mwambie mumeo anaumiza wananchi.
Sasa kama wewe ni Mfanyabiashara sawa ila mtumishi kama unafanya transactions nyingi Basi una kipato kikubwa hivyo unatakiwa kuchangia serikalini.Kha! mbona za kwangu zinafika hata 50,000? Transactions nyingi kijana, unadhani sisi wengine huwa tunatoa fedha mara moja tu kwa mwezi?