Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Una akili ndogo sana. Vat unazolipa kwenye vocha au makato ya Tanesco kuna Rea kule na mangine wanakataje? Hawakati kama unavyodhani, vifurushi vita adjust automatically kwenda chini kuacha gape ya wewe kulipia hio tozo. So utaona kifurushi unanunua vha buku kumne umenunua 600, 400 ni mgawanyo wa makato mengine
Alright big brain maana yangu inabaki ileile kuwa 1GB Kwa 1000 hutaipata tena. Wewe umeitazama mada from another angle so hukuwa na sababu ya kudhani wemgine hawana akili kubwa.
 
Mfumo uliowekwa utazingatia viwango vya mapato ndio maana wameweka range ya sh 10-200. Kwa hiyo wenye kipato kidogo watalipa sh 10 ambayo ni sh 300 kwa mwezi.

Serikali inaendeshwa kwa kodi. Hakuna njia nyingine. Wananchi wote lazima tulipe kodi ili kuiwezesha serikali kutoa huduma mbalimbali.
Mkuu kweli hakuna serikali inayoendeshwa bila kodi. Kwa nini Hawa watu wanaojiita waheshimiwa wakati hawana heshima kule mjengoni hawalipi Kodi? Wao sio Wananchi? Wengi hudiriki kujiita wazalendo, uzalendo bila kulipa Kodi ni sawa na kuanika nguo za ndani sebuleni.
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana.. Hiyo VAT wanayokata kwenye vocha haiwatoshi?
 
Mitandao ya simu watajua tu namna ya kudeal na hiyo changamoto. Mbona vat unalipa unaponunua vocha lakini haiathiri ununuaji wa vifurushi?
Watapunguza bundle[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfumo uliowekwa utazingatia viwango vya mapato ndio maana wameweka range ya sh 10-200. Kwa hiyo wenye kipato kidogo watalipa sh 10 ambayo ni sh 300 kwa mwezi.

Serikali inaendeshwa kwa kodi. Hakuna njia nyingine. Wananchi wote lazima tulipe kodi ili kuiwezesha serikali kutoa huduma mbalimbali.

Acha kutetea upuuzi hebu tuambie mbunge anakatwa kodi kiasi gani?!
 
Mitandao ya simu watajua tu namna ya kudeal na hiyo changamoto. Mbona vat unalipa unaponunua vocha lakini haiathiri ununuaji wa vifurushi?
Hata Sasa ukinunua chochote si garama jumuishi hbaki pale mfano uchanganuzi kama huu kwa malipo ya tsh 980

Cost 803.28
VAT 18% 144.59
EWURA 1% 8.03
REA 3% 24.10
TOTAL 980.00 09/06/21 19:53. Kwa hiyo hata ukirejea kwenye mfumo wa ununuzi wa vifurushi utakuta makato kadhaa ikiwepo vat,so hata hiyo ya laini naona itawekwa hivyo hivyo kama nyingine
 
Vina disturb namna ya kununua kifurushu umepanga kununua kifurushi cha 2000 halafu kabla hujaunga unatumiwa meseji umekatwa tsh 178 salii baki ni 1822. Hapo utaungaje kifurushi? Unalazimika kwenda tena dukani kununua vocha ya 500 ili uunge. So kifurushi cha 2000 siku hiyo unalazimika kutumia 2500
Haiwezi kuwa hivyo, kumbuka ishu ya VAT iliwekwaje?
 
Dah kina Tundu lissu wangekua bungeni wangetetea aya naona wamegonga nameza kabisa ifike mahala wapunguze salary zao na pension pia ili wote twende sawa kwenye machungu
 
Something is wrong here.
Kwenye sehemu (I)
Serikali itapata 1,254,406.14 milioni ambayo Ni sawa na 1,254,406,240,000 0r 1.2 trillion
Sehemu (ii)
396,306 milioni sawa na 396,306,000,000 which 396 billion
Hata waziri alikuwa anataja milioni nikawa najiuliza mbona ni hela ndogo sana
 
Vina disturb namna ya kununua kifurushu umepanga kununua kifurushi cha 2000 halafu kabla hujaunga unatumiwa meseji umekatwa tsh 178 salii baki ni 1822. Hapo utaungaje kifurushi? Unalazimika kwenda tena dukani kununua vocha ya 500 ili uunge. So kifurushi cha 2000 siku hiyo unalazimika kutumia 2500
Mbona iko hivyo hata sasaivi, hiyo inayosalia ndiyo utaunga kifurushi nacho kitaitwa kifurushi cha 2000 wakati kuarisia ni sh 1822
 
Wanatukamua hivi alafu wanawapa kina mkude na fei toto waende nazo Cameroon yanapigwa 7 huko yanarudi masikini Tanzania yangu
 
Back
Top Bottom