Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hii bajeti inahakikisha mnyonge ananyongwa kweli,
Maana wamepunguza faini za boda boda ili automatically walemavu wawe wengi.
Nafuu kwenye vilevi , maskini mpe pombe asahau shida zake.
Ila matumizi ya kawaida ni makubwa kuliko miradi ya maendeleo.
Meaning watawala wanajinufaisha huku watawaliwa wakiendelea kukandamizwa kwenye tope la ufukara.