Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Alright big brain maana yangu inabaki ileile kuwa 1GB Kwa 1000 hutaipata tena. Wewe umeitazama mada from another angle so hukuwa na sababu ya kudhani wemgine hawana akili kubwa.
 
Mkuu kweli hakuna serikali inayoendeshwa bila kodi. Kwa nini Hawa watu wanaojiita waheshimiwa wakati hawana heshima kule mjengoni hawalipi Kodi? Wao sio Wananchi? Wengi hudiriki kujiita wazalendo, uzalendo bila kulipa Kodi ni sawa na kuanika nguo za ndani sebuleni.
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana.. Hiyo VAT wanayokata kwenye vocha haiwatoshi?
 
Mitandao ya simu watajua tu namna ya kudeal na hiyo changamoto. Mbona vat unalipa unaponunua vocha lakini haiathiri ununuaji wa vifurushi?
Watapunguza bundle[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Acha kutetea upuuzi hebu tuambie mbunge anakatwa kodi kiasi gani?!
 
Mitandao ya simu watajua tu namna ya kudeal na hiyo changamoto. Mbona vat unalipa unaponunua vocha lakini haiathiri ununuaji wa vifurushi?
Hata Sasa ukinunua chochote si garama jumuishi hbaki pale mfano uchanganuzi kama huu kwa malipo ya tsh 980

Cost 803.28
VAT 18% 144.59
EWURA 1% 8.03
REA 3% 24.10
TOTAL 980.00 09/06/21 19:53. Kwa hiyo hata ukirejea kwenye mfumo wa ununuzi wa vifurushi utakuta makato kadhaa ikiwepo vat,so hata hiyo ya laini naona itawekwa hivyo hivyo kama nyingine
 
Haiwezi kuwa hivyo, kumbuka ishu ya VAT iliwekwaje?
 
Dah kina Tundu lissu wangekua bungeni wangetetea aya naona wamegonga nameza kabisa ifike mahala wapunguze salary zao na pension pia ili wote twende sawa kwenye machungu
 
Something is wrong here.
Kwenye sehemu (I)
Serikali itapata 1,254,406.14 milioni ambayo Ni sawa na 1,254,406,240,000 0r 1.2 trillion
Sehemu (ii)
396,306 milioni sawa na 396,306,000,000 which 396 billion
Hata waziri alikuwa anataja milioni nikawa najiuliza mbona ni hela ndogo sana
 
Mbona iko hivyo hata sasaivi, hiyo inayosalia ndiyo utaunga kifurushi nacho kitaitwa kifurushi cha 2000 wakati kuarisia ni sh 1822
 
Wanatukamua hivi alafu wanawapa kina mkude na fei toto waende nazo Cameroon yanapigwa 7 huko yanarudi masikini Tanzania yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…