Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Hii bajeti inahakikisha mnyonge ananyongwa kweli,

Maana wamepunguza faini za boda boda ili automatically walemavu wawe wengi.

Nafuu kwenye vilevi , maskini mpe pombe asahau shida zake.

Ila matumizi ya kawaida ni makubwa kuliko miradi ya maendeleo.

Meaning watawala wanajinufaisha huku watawaliwa wakiendelea kukandamizwa kwenye tope la ufukara.
 
H
Hayo matumizi ya kawaida, si ndio kama yale waliochota hazina... hahahahaaaa
 
Tunaomba bajeti ya mwaka wa fedha uliopita tuone matumizi na pesa ya maendelea vilitofautianaje
 
ni wewe ndio unaona vya zamani, nchi zilizo endelea huo ndo mfumo wao huna vocha hata simu haziingii!
 
ni wewe ndio unaona vya zamani, nchi zilizo endelea huo ndo mfumo wao huna vocha hata simu haziingii!

Wewe ni mpumbavu! Unaweza kuwa umeenda shule, though ila bado hujatambua mazingira yako. Unawezaje kufanya ulinganifu Tanzania na Ujerumani, kwa mfano? Hivi unaweza kulikanganisha ndizi na chungwa eti kwa sababu yote ni matunda?? Nimekuuliza swali na msingi - kupungua kwa simcards kunaileteaje hasara kampuni ya simu?? Yaani mtu awe na pesa kwenye simu (ambayo ni huduma) halafu simu yake iwe imefungwa? Hujui kampuni ya simu ina huduma za bure kama kupokea pesa na hata kuangalia salio? Na unataka kusema huduma hizo pia zifungwe?
Unasema mtu asiweze kupiga toll-free emergency calls kama 911 au 999?? Huna uwezo wa kufikiria hili jambo! Liache tu, kwa sababu nimegundua hujui vitu vingi!
 
yaani uanuliza kabisa kupungua kwa simu kunaileteaje hasara kampuni, huoni kama subscribers wanapopungua mapato yanapungua pia??? Acha utani bana!! Mtu anafungiwaje simu kama ina pesa?? Huduma za bure kupokea pesa kivipi (as far as i know nothing is free kama ni pesa za mtandao anayetuma anakatwa , na kutoa pia lazima ukatwe )! toll free hapa bongo we ulishawahi piga simu ikapokolewa???Ina faida gani hiyo toll free??????
 
Hata hili ni pendekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…