Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

Washukuru tu kuna mikoa mitandao mingine haipatikani ila ningeshaivunja na line yenyewe!
 
1.3m ni watu wengi sana kuamua kuachana na huduma na huo ni mtandao mmoja na hapo ni kwenye simu tu vipi mabenki nao hasara itakuwa kiasi gani

Hizi tozo badala ya kuleta athari chanya zitakuwa na negative impact kote zilipokuwa introduced
Ndio shida ya kutegemea Phd feki kutoa mwongozo kwa Taifa na bado anguko kubwa zaidi linakuja mark my words
 
Muigulwa hajawahi kufanya jambo lenye tija kwenye wizara yoyote aliyowahishika ila nguvu za....... huwa zinamsaidia kuficha udhaifu wake na kuonekana mbele za wateuzi.
 
Kampuni ya mtandao wa simu Vodacom imetangaza kupata hasara kwenye package yao ya M-Pesa ya Billion 103.8 sawa na 9.8% wapoteza kwnye Tozo ambapo walitakiwa wakusanye billion 956.

Watu 1.3M waliacha kutumia mtandao wao wa M-Pesa
Hizoni porojo na excuses za failures zao..

Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo?

Likampuni hilo lilifirisika toka mwaka juzi lilipoanza kuibia watu bando,dakika kuisha haraka na kupandisha Bei za vifurushi wateja wakalikimbia nikiwemo mimi hapa..

Kwa hiyo management inatumia excuses ya tozo kuwa please shareholders kwa sababu za failures zao.
 
Vodacom ni Sukuma gang, muda sio mrefu benki nazo zitakuwa Sukuma gan (tuzipe muda wa mwaka mmoja tu).

Elimu ya kiongozi mkuu (Rais) ni form four failure, majizi yaliyomzunguka yote ni ma dree holder, Mastres PhD& Professa, mlitarajia nini? [emoji23]

Sukuma Gang tutanyooka mwaka huu.
 
Hizoni porojo na excuses za failures zao..

Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo?

Likampuni hilo lilifirisika toka mwaka juzi lilipoanza kuibia watu bando,dakika kuisha haraka na kupandisha Bei za vifurushi wateja wakalikimbia nikiwemo mimi hapa..

Kwa hiyo management inatumia excuses ya tozo kuwa please shareholders kwa sababu za failures zao.
Hahahahahaha hao ni Vodacom tu (mtandao ambao umepiga hatua sana katika huduma za kifedha) wanalalamika , hao mbulula wengine nao watajitokeza tu.

Huna hela wala hufanyi biashara ya maana utajuaje athari za kulimbikiza makato yasiyo na msingi katika uchumi? Hii comment yako imedhihirisha ufukara wa kiuchumi na maarifa ulionao.
 
Back
Top Bottom