Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

Tozo zaisababishia Vodacom hasara ya Tsh. Bilioni 103.8

Wakome maana mwenyekiti wao si alikua kamishna kule tume ya uchaguzi wakubali tu wasilalamike
 
Hizoni porojo na excuses za failures zao..

Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo?

Likampuni hilo lilifirisika toka mwaka juzi lilipoanza kuibia watu bando,dakika kuisha haraka na kupandisha Bei za vifurushi wateja wakalikimbia nikiwemo mimi hapa..

Kwa hiyo management inatumia excuses ya tozo kuwa please shareholders kwa sababu za failures zao.
Acha uongo waziri wako nape , juzi kaelezea vizuri hakuna mtandao unaoiba vifurushi vya wateja wake labda kama unapingana na waziri wako,

na kingine ni kwamba voda ndo inayoongoza kwa transaction ukilinganisha na hao wengine sijui tigo,airtel money nk.kulalamika kuwa wamepata hasara kwa sababu ya kuacha matumiza ya mpesa sababu ya ongezeko la tozo ni kawaida sababu number hazidanganyi . Na kwanini iweporojo ku excuse their failures ,iliiweje, wamfurahishe nani na kwa faida ya nani.!?
 
Sasa huyo naye si ndiyo bure kabisa. Sema nini mkuu Mungu ni mwema alituondolea ila kadhia
Utaendelea kuwa masikini kwa kufikiri kwamba mungu wako alikuindolea magufuli ili usiendee kuteseka!

Na bado kibano cha tozo kitawabamiza mpaka mavi hayo mliyojaza vichwani mwenu yatoke ndio mtajitambua
 
Kuna mmoja alikuwa anajiita Jiwe na alikuwa na mawazo kama yako akajaribu kumuua Mh. Lissu lakini mwisho wa siku corona ikasepa naye
Kwamba hata wale watu laki 5 waliosepa kwa corona kule US nao walijaribu kumuua huyo mrs amsterdam?
 
 
Tigo HAIPO kwenye Soko la Hisa. Haifungwi KISHERIA kusema WAZIWAZI. Vodacom wapo.Wanafungwa Kisheria.

LAKINI,

Naunga mkono hoja yako kuu kwamba hii ni KUTUMIA TOZO kama EXCUSE.

Unapopanga kukusanya Trilioni 1.06 halafu ukakusanya Pungufu kwa Bilioni 103, maana yake ni kwamba VIHATARISHI vimezidi nguvu BAHATI. Vihatarishi vinashusha MAPATO chini ya lengo na Bahati zinakuvusha juu ya lengo.

Sasa,
Vodacom kutuambia ETI billion 103 lost Revenue ni kutokana na Tozo PEKEE ni UONGO. Hapo nakuunga mkono.
Vipi kuhusu Wizi wa Bundle na effects zake kama wateja wanaowaacha, wanaopunguza matumizi, wanaoamua kukopa kwa songesha au M-PAWA na kutolipa ili kuiKOMOA Vodacom, vipi kuhusu Mfumo wao MBOVU wa kuajiri???

Unatumiwa SMS ya Salio la Bundle, unafanya hesabu BASED ON the SMS, hesabu hazisomani; Unaamua kupiga 100, Mdada/Mkaka yule anakujibu kwamba mfumo wake unaonyesha umemaliza kifurushi na kwamba hakuSHAURI uifuate hiyo SMS. Yaani kweli kabisa? Mbona hii SMS ya Salio HAIKOSEI kwenye Salio la SMS na Dakika??? Vodacom wana kihatarishi kingine cha "VODA LOCUTA CAUSA FINITA" yaani "VODA AMESEMA, SHAURI LA KESI LIMEFUNGWA". Monopoly Risk,Dictating Risk....

Haya yote yamewekwa KAPUNI, wamesemea TOZO.

Ndio maana mie nasema wenye Nchi ni sisi Wananchi. Tupigane Vita zetu WENYEWE. TusiDANDIE washirika waFITINI kama Vodacom. Wao nao wana Vita zao, waziendeleze bila KUJIKOSHA kwetu.

Kusema wamepata HASARA ni UONGO pia, wamepata faida ya Bilioni 64.364 ambayo ni ONGEZEKO la asilimia 39.6 ukilinganisha na mwaka ulioishia Machi 2022. Faida GHAFI pia IMEONGEZEKA kutoka nakisi ya bilioni 30 mpaka ya bilioni 20. Hawana HASARA. Wana vihatarishi na WAMEDANGANYA kwamba bilioni 103 ya upungufu wa mapato imetokana na kihatarishi kimoja!!!

Uongo,Uongooo....Hiyo ni Uongo Bwana.
[emoji1860][emoji1860][emoji1860]
Umechambua kitaalamu/kisomi na hoja inaeleweka.

Nami naongezea hoja yangu kujazia yako.
Siku za nyuma biashara ya voda-m.pesa ilishamiri maana ilikuwa inalipa sana. Siku hizi wanalipa kidogo na mawakala tunatupiana mpira au kubagua baadhi ya miamala. Majirani kama 5 hivi wameshaamua mwezi ujao watapima tena malipo yatakayotolewa yakiwa vichenji kama walivyofanya August laini wanazika.

Mfano muamala wa 9,000/= halotel inalipa kamisheni ya 260 kwa wakala lakini voda 10,000 inalipa 156. Kwa mwenye akili atawiwa kufanya kazi na halotel sio vodacom.

Wakala anafanya mzunguko wa m.pesa kama 1,500,000 anaambulia 16,000 wakati angeuza hata mchele tu faida ingejaa lau 40,000 hadi 50,000

Jedwali la makato upande wa Vodacom linaonesha ni makubwa kulinganisha na mitandao mingine. Kwa miezi kama 2 nimeahuhudia wateja wangu kuanza kuja kwangu kuhudumiwa mitandao mingine tofauti na ile ya Vodacom ya awali. Nikiwapeleleza wanadai ukiwa na 10,000 unaweza kutoa kwa gharama ya 1,000 tu kinyume na huku kwingine.

Mchawi ni wao wenyewe wala sio tozo.

Pia kuna malalamiko ya wateja kukatwa 50 au 100 kila wakiongeza salio. Wamekuja sana dukani kwangu nikiwapigua huduma kwa wateja najibiwa mteja alijiunga na tusua mapene, soka, mdundo kwa kujua au kutojua. Mbaya zaidi ni mabibi vizee hata sms hajui kuandika lakini wanadai ni katika kubonyeza bonyeza. Wengi wanaamua kutoweka vocha salio.

Humu jukwaani tumelalamika sana kuhusu speed ya bando kuisha hata kama matumizi utayaratibu vizuri, walichagua kuzibeza hoja zetu bila kujali sisi ni sehemu ndogo ya waathirika wenye platform ya kutolea malalamiko, je idadi gani haina pa kutolea malalamiko?

Ngoja waote moto waliouwasha wenyewe.
 
Na bado makampuni yote ya simu pamoja na mabenki yatendelea kusaga meno hasa baada ya wafanyabiashara kuamua kutunza fedha nyumbani kwa kuogopa tozo hizi za kiqumer zilizoanzishwa na serikaliya mashetani.
Taratibu zama za kulalia hela chini ya kitanda zinarudi
 
Hahahha si umeona machawa wote kimya kama hawaoni serkali hii
ya wachumi mataahira inavo feli!
...

Magufuli ameua kabisa uwekezaji, ameua uchumi, amekimbiza wawekezaji!

Alisikika taahira mmoja akiwa kashika kibaba cha asali
 
Vodacom ni majizi, ukituma hela au kutoa ni makato gani yanakuwa makubwa? Ya serikali au ya hao jamaa? Vodacom ni wezi tu hao wanatafuta huruma ya watanzania
 
Vodacom ni Sukuma gang, muda sio mrefu benki nazo zitakuwa Sukuma gan (tuzipe muda wa mwaka mmoja tu).

Elimu ya kiongozi mkuu (Rais) ni form four failure, majizi yaliyomzunguka yote ni ma dree holder, Mastres PhD& Professa, mlitarajia nini? [emoji23]

Sukuma Gang tutanyooka mwaka huu.
Hizi benk ndogo kuna nyingine zina hali mbaya sana. Kuna benki moja kama sio kuunganishwa na nyingine basi itakuwa mfilisi. Kuna siku mhudumu akaniambia ile benki hakuna kitu, kama nina hela ya kueleweka nihamishe tu nisije nikapata mgao wa chini ya buku kumi siku ikifirisina.
 
Kinachofuata ni kuanza kupunguza wafanyakazi katika sekta ya kifedha
 
Huyu Jaji kageuka mtu wa dili, vibodi vingi vya wakurugenzi, enzi ya JPM bila yeye hupati ujaji. Full mission town, connection, hapo kawekwa kwa kuwa anatumika kupenya penya kwa viongozi
Elimu na experience yake ndo imemuweka hapo na sehemu nyingine. Wewe endelea kupiga mapambio ulipwe posho ya buku 7 maana shule ulikimbia
 
Tigo HAIPO kwenye Soko la Hisa. Haifungwi KISHERIA kusema WAZIWAZI. Vodacom wapo.Wanafungwa Kisheria.

LAKINI,

Naunga mkono hoja yako kuu kwamba hii ni KUTUMIA TOZO kama EXCUSE.

Unapopanga kukusanya Trilioni 1.06 halafu ukakusanya Pungufu kwa Bilioni 103, maana yake ni kwamba VIHATARISHI vimezidi nguvu BAHATI. Vihatarishi vinashusha MAPATO chini ya lengo na Bahati zinakuvusha juu ya lengo.

Sasa,
Vodacom kutuambia ETI billion 103 lost Revenue ni kutokana na Tozo PEKEE ni UONGO. Hapo nakuunga mkono.
Vipi kuhusu Wizi wa Bundle na effects zake kama wateja wanaowaacha, wanaopunguza matumizi, wanaoamua kukopa kwa songesha au M-PAWA na kutolipa ili kuiKOMOA Vodacom, vipi kuhusu Mfumo wao MBOVU wa kuajiri???

Unatumiwa SMS ya Salio la Bundle, unafanya hesabu BASED ON the SMS, hesabu hazisomani; Unaamua kupiga 100, Mdada/Mkaka yule anakujibu kwamba mfumo wake unaonyesha umemaliza kifurushi na kwamba hakuSHAURI uifuate hiyo SMS. Yaani kweli kabisa? Mbona hii SMS ya Salio HAIKOSEI kwenye Salio la SMS na Dakika??? Vodacom wana kihatarishi kingine cha "VODA LOCUTA CAUSA FINITA" yaani "VODA AMESEMA, SHAURI LA KESI LIMEFUNGWA". Monopoly Risk,Dictating Risk....

Haya yote yamewekwa KAPUNI, wamesemea TOZO.

Ndio maana mie nasema wenye Nchi ni sisi Wananchi. Tupigane Vita zetu WENYEWE. TusiDANDIE washirika waFITINI kama Vodacom. Wao nao wana Vita zao, waziendeleze bila KUJIKOSHA kwetu.

Kusema wamepata HASARA ni UONGO pia, wamepata faida ya Bilioni 64.364 ambayo ni ONGEZEKO la asilimia 39.6 ukilinganisha na mwaka ulioishia Machi 2022. Faida GHAFI pia IMEONGEZEKA kutoka nakisi ya bilioni 30 mpaka ya bilioni 20. Hawana HASARA. Wana vihatarishi na WAMEDANGANYA kwamba bilioni 103 ya upungufu wa mapato imetokana na kihatarishi kimoja!!!

Uongo,Uongooo....Hiyo ni Uongo Bwana.
[emoji1860][emoji1860][emoji1860]
Revenue na watumiaji wa huduma nyingine kama simu na data zimeshuka pia? Sijaangalia kiundani mahesabu yao lakini nadhani majibu ya maswali uliyouliza yako humo. Nakumbuka kuona walivyo publish mahesabu yao waliweka kwa makusudi column ya ambacho wangekipata bila tozo, kuonyesha effect ya tozo. Wangekuwa na ujasiri huo wasingekuwa na uhakika mbaya wao ni tozo na sio wizi wa bando kama unavyo suggest?
 
Elimu na experience yake ndo imemuweka hapo na sehemu nyingine. Wewe endelea kupiga mapambio ulipwe posho ya buku 7 maana shule ulikimbia
Ana experience ya nini? Aliwekwa hapo kwa sababu ya kabila, walivyomuona Yuko karibu na JPM, Vodacom wakampa cheo, kazi yake ni lobbyist tu, otherwise hana merit yoyote. Unaweza kumuita chawa wa Vodacom.
 
Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio.

Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo ziliongeza gharama za wateja kufanya miamala kwa kutumia simu za mkononi, hivyo kusababisha zaidi ya wateja milioni 1.3 kuacha kutumia huduma za M-Pesa.

Kutokana na hali hiyo, huduma ya M-Pesa ambayo imekua namba moja kwa ukusanyaji mapato kwa Vodacom Tanzania, ilishuka kwa 7.6% ya kiasi kilichokusanywa na kampuni hiyo.

Serikali ilianzisha tozo za miamala Juni 2021 ili kutafuta fedha zaidi za ujenzi wa miradi, hata hivyo, utekelezaji wake umepata ukosoaji na kusababisha kushuka kwa miamala ya kifedha kwa njia ya simu huku watu wakitumia njia nyingine mbadala za kutuma na kupokea pesa.

===============================

Vodacom Tanzania’s revenues were short of target by Sh103.8 billion during the year ending March 2022 due to the impact of mobile money transaction levies, the company has revealed.

Vodacom Tanzania says in its latest annual report that it garnered a total of Sh956.515 billion during the period.

This was almost one percent lower than what the company collected from its various services during the preceding year.

The amount was also about 9.8 percent adrift of what the Sh1.06 trillion that the company had projected to collect during the period.

“The introduction of mobile money levies in the year was an unfortunate development for financial inclusion in Tanzania,” says the company’s board chairman, Judge (rtd) Thomas Mihayo, in the annual report which is also deposited with the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).

The company registered a drop in revenues across four of its six revenue streams.

The government introduced mobile money levy in June last year (2021) in an effort to raise more funds to construct roads and water projects in rural areas.

However, its implementation was roundly criticised, resulting into a drop in mobile money transactions as people resorted to other alternative means of sending and receiving money.

As a result, Vodacom’s Mobile Money (M-Pesa) – which has grown to become the number one revenue earner for Vodacom Tanzania – registered a 7.6 percent drop in the amount that it brought to the company’s basket.

Vodacom, which remains the only publicly-listed telecommunication firm in Tanzania, registered Sh329.557 billion in M-Pesa revenue during the year ending March 2022, down from Sh356.801 billion that was garnered from the platform during the preceding year.

“This reflects the impact of the levies that saw M-Pesa users fell to 6.5 million by the end of the second quarter compared to the first quarter’s 7.8 million,” Vodacom Tanzania acting managing director Hilda Bujiku says in the report.

And, according to Judge Mihayo, the levies significantly increased the costs for customers to transact with mobile money, resulting in over 1.3 million customers immediately relinquishing our M-Pesa services.

The other revenue streams that registered a fall in revenues include Mobile Voice, Mobile Incoming and Messaging.

Mobile Voice, which is the second major source of revenue for the DSE-listed telecommunication firm, fell from Sh302.037 billion during the year ending March 2021 to Sh286.985 billion during the year ending March 2022.

On the other hand, revenue from Mobile Incoming and Messaging streams fell by 17.3 and 9.5 percent respectively.

The fall in the four streams depleted the impact of an 18.9 percent and a 46.6 percent rise in the company’s overall financial performance.

The company processed more than Sh60 trillion worth of transaction value through M-Pesa platform during the year ending March 2022, highlighting the important role it plays in the country’s financial ecosystem.

“Our strong commercial execution coupled with the government’s intervention through a 30 percent levy reduction in September 2021, supported a partial recovery of the customer base to 6.8 million customers as at financial year end,” said Ms Bujiku.

However, Ms Bujiku says the company processed more than Sh60 trillion worth of transaction value through M-Pesa platform during the year ending March 2022, highlighting the important role it plays in the country’s financial ecosystem.

“Our strong commercial execution coupled with the government’s intervention through a 30 percent levy reduction in September 2021, supported a partial recovery of the customer base to 6.8 million customers as at financial year end,” said Ms Bujiku.

Despite the pressure on reported service revenue, Ms Bujiku says, the company reported operating profit of Sh64.4 billion, courtesy of cost containment measures.

“Vodacom Tanzania delivered another year of strong execution. We made good inroads across our key strategic focus areas, while also managing new headwinds such as levy on mobile money transfers and withdrawal transactions.”

The company however sees light at the end of the tunnel, thanks to a 30 percent reduction in mobile money levies announced in September 2021 and a further 43 percent reduction passed by the parliament in June 2022.

“The decision will reduce the end-user charges. We believe by unlocking the growth potential in M-Pesa we can meaningfully address financial inclusion,” she expounded.

Vodacom Tanzania board chairman, Retired Judge Thomas Mihayo said: “Whilst the impact of the levies is difficult to dismiss, we are encouraged with an increasingly open-door attitude from the government, with respect to this matter.”

He exuded Vodacom’s optimism that together with the government, they could find solutions that will progress further realisation of benefits that technology could deliver to the country and financial inclusion.

“In a particularly competitive market environment, the company’s ability to maintain its leading position both in terms of market share and customer net promoter score, is testament to the strength of its execution and strategy,” he said.

THE CITIZEN
Tozo ni ushauri wa wananchi kwenda kwa serikali. Hivyo vodacom watulie tunaponya na kujenga nchi kwa mpigo.

NB: sina taarifa rasmi ya ni lini na nani alikusanya maoni ya tozo na sijui mfumo alioutumia.

Nawasilisha
 
Hapana, Jiwe aliadhibiwa na Mungu baada ya Watanzania kumlilia Mungu
 
Acha matusi, Mungu alishawaondolea Watanzania ile kadhia basi inatosha, tozo soyo ishu kama uhai wa Wanadamu
 
Back
Top Bottom