Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 453
- 446
Hivi kumpa mtu shilingi laki mbili na nusu Kama extraduty inaingia akilini kweli wakati pensheni kiduchu za wastaafu ni mishahara midogo ya wafanyakazi wa ngazi za chini inakatwa tozo bila huruma?Na hizo tozo wanazotukamua ,wanaishia kujilipa na kukwapua bila huruma, akili zimekwamia kwenye kuwakamua wananchi na si kuwasaidia wenye mawazo mapya kuanzisha vyanzo vipya, wale wabunge wanaopitisha kila muswada bila kujadili kwa sababu wao hawaguswi, hawatufai hata kidogo hakuna la maana wanalofanya zaidi ya kusaini posho tu